boaz mwalwayo
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 6,287
- 4,738
Kuna watu wanashida zaidi ya RC
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
subhannallah, duuhhasaidiki huyu mwanamke shenzi zake
hahahahahahahahah aende kwa wasafi tu huyoAu tumpeleke WCB
Kweli wewe wa kishua......!!Kijijini kwetu ni Masaki na sina ndugu wa kumlilia wote mambo yao ni mazuri.
Miss u too,sie tupo na jukwaa letu kama kawaida.Nipo kaka za siku!!miss u sana tuuu!!
Dah!! majukumu kaka yanguMiss u too,sie tupo na jukwaa letu kama kawaida.
Wewe uliwahi kusikia TEJA anabebeka?,acha hizo bhaanaa,huyo Rehema Chalamila amechezea pesa zetu za kodi kumtibu,Mkwere badala ya kusaidia Mayatima akawa anagharamia hilo jiteja linalonuka Laana....si vema kumhukumu, haswa sisi tunaoamini ktk Kristo huwa tunasamehe na kuombea. Angeweza kuokoka anaweza kupona kabisa.