MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Kuna watu wanapatq pesa na hawajui kuzitumia, kuomba mzigo hata kama una pesa inahitaji diplomatic conversationMimi Binafsi imenishangaza kuona Boss ananyimwa mzigo. Siku zote tumekuwa tukiamini ukiwa na pesa. Unapatiwa Mzigo fresh, ila kwa Majizzo nimeona pesa si kila kitu. Kuna mabinti ambao bado wanajielewa
[emoji23][emoji23]mm kapuku tu, sema strength yangu napenda sana kujali kina mamaNipo salama kabisa hofu kwako boss ,tajiri mwenyewe usie na makuu[emoji1787]
Mi huyu wangu namuachaje ssMuelewane tu, mama mchungaji hana shida kabisa. She's good
Ngoja tuhame[emoji23][emoji23]mm kapuku tu, sema strength yangu napenda sana kujali kina mama
Sasa hivi naona umekua mtulivu sana, safi. Unapaswa kuwa hivyo siku zoteNimecheka Ka mwehu! Niko sawa bro ake.
Kucheka mpaka utafute eneo kwanza[emoji23]Unacheka nini? [emoji12]
Mama mchungaji nna mengi sana ya kuongea nae, ana vitu vingi vizuriMama mtumishi jisexishe tajiri aongeze fungu la kumi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuwa mwanamke wa “mithali”
Tutampaaa tuKyuti ana taarifa lakini? [emoji23][emoji23]
Hili jina lako kila nikiliona linanivutia sana tayana wagMwanamke wa mithali ss ni tofauti,ye hajisexishi[emoji28][emoji28]
Sie hatuna makuu Kila kitu tunasema , ndiyo baba.....
Mambo mengine inside hatuonneshi hadharani,au humsikilizi,Rose shaboka wewe[emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125]
Upo free miezi ipi?Mi huyu wangu namuachaje ss
We tulia mambo mazuri hayahitaji haraka[emoji1787]
😅😅Hili jina lako kila nikiliona linanivutia sana tayana wag
Yes but usihofu mamaNgoja tuhame
Tunaharibu Uzi wa watu[emoji2960][emoji28]
Una vitu vingi vizuri[emoji28][emoji28]
Wabovu Ina maana gani mkuu Extrovert ?Mademu wabovu ndio vinara wa kulalamika.🤣
Zamaradi, Rubby, Ebitoke... nk. ndo wale wale.
Muelewane tu, mama mchungaji hana shida kabisa. She's good
Walilikosea bana ,ni WOGUna vitu vingi vizuri
🤝🤝🤭😅Una vitu vingi vizuri
Nipo busy kidogo kuna mambo nafanya hapa, nikimaliza tu chap namuweka sawa. Mama mchungaji ni mtulivu ana vitu vingi sana tunapaswa kuongea, she's my inspiration
Sasa tutagawa nyuchi kwa wangapi lazima kiasi kiwepo.Kwani uchi Ni Jambo la kumnyima mwanaume?
All the time boss...sie wengine bana ndo wale tunaosaidiwa na MUNGUUpo free miezi ipi?