MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Kuna watu wanapatq pesa na hawajui kuzitumia, kuomba mzigo hata kama una pesa inahitaji diplomatic conversationMimi Binafsi imenishangaza kuona Boss ananyimwa mzigo. Siku zote tumekuwa tukiamini ukiwa na pesa. Unapatiwa Mzigo fresh, ila kwa Majizzo nimeona pesa si kila kitu. Kuna mabinti ambao bado wanajielewa