Msanii Ruby amlipua Majizzo: Rushwa ya Ngono na mambo faragha

Msanii Ruby amlipua Majizzo: Rushwa ya Ngono na mambo faragha

Mimi Binafsi imenishangaza kuona Boss ananyimwa mzigo. Siku zote tumekuwa tukiamini ukiwa na pesa. Unapatiwa Mzigo fresh, ila kwa Majizzo nimeona pesa si kila kitu. Kuna mabinti ambao bado wanajielewa
Kuna watu wanapatq pesa na hawajui kuzitumia, kuomba mzigo hata kama una pesa inahitaji diplomatic conversation
 
Nina maswali kadhaa hapa

Kwanin hakusema hapo awali kuwa anaombwa rushwa ya ngono mpaka alipokataliwa kupewa saport?

Mbona kama anajichanganya anapesema kuwa Majay hampati mara wanaonana mara nyingi?

Ni huyu RUby aliekuwa THT wakagombana na Ruge kisa mambo haya haya ya ngono au mengine?

Nawaza kwa uzuri gani Ruby amfanye majizo kuhangaika hivyo kupata mbususu yake?
 
Back
Top Bottom