Msanii Ruby amlipua Majizzo: Rushwa ya Ngono na mambo faragha

[emoji23][emoji23] Wanaoomba nyuchi wapo kirundo na mwanamke bila kuwa makini utashangaa umetoka na timu za mpira za mafungu.
Wanaume tunatabia ya kusukumiana wanawake, Boss akishakula anamshikishia na Rafiki yake naye ale... Ndio maana unakuta mastaa wa kike wanaliwa na mabosi wale wale...
 
Bongo nyosoo 😂😂
 
Braza anataka aende bampa tu bampa na historia za kina Ruge, sasa hivi anakimbizana na Chibu kuwala watoto
 
Asantee....wewe ndio umeongea, comment nyingi humu hawataki kupiga vita rushwa za ngono, wengi ndio wanahararisha, wako radhi mtu ateseke kisa tu amesema hatoi uchi
Watu wabaya sana Mkuu, yaani mwenzao akiumia wao ni sherehe.
 
Kuna wanaume hawaridhiki na vitu vizuri walivyo navyo. Majizo ana mtoto mkali lulu, anahangaika na ruby wa nini? Ruby mwenyewe si yule wa wimbo wake wa mwanzo 'na yule' alikuwa pisi kali hasa enzi hizo
Anataka madini yote pekee yake😀😀
 
Mie nimemshangaa kweli kalogwa analeta ubisho ujuaji , eti wenye nchi anawadhalilisha atabakia na njaa tu bahati kaitupa matopeni machizi wengi .

Mmoja ni yeye aanvutishwa bangi, analiwa kisela na bado analia lia . Kuna mengine unakubali kama hayoo ila wasi wasi wangu je majizzo ni mzima??
 
Previous Vanessa Alisema rushwa ya ngono ni issue kubwa sana kwa industry. Na kuna report Majizzo was after her na aliamua kuacha muziki Kabisa.

Currently ruby Anasema Tena. The same things. Same person yupo accused. Sasa, till when tutachukua hatua hata kumuhoji? Why? What measures anachukua on his company? Why just him? Watu wanamuangalia tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…