Hii ni tabia ya wengi sana mjini, kuna thead moja nimewahi kuona humu ya Dada fulani aliyeambukuzwa VVU na Mwalimu wake ili amtafutie kazi taasisi fulani ya serikali na kweli alipata, kwa ajili hiyo tuseme rushwa ya ngono ni kubwa sana nchi hii, na hili la Ruby ni kwa vile hakumpenda tu.
You think, Vanessa mdee was well connected .she didn’t have to say that . Unless he was serious & wanted to marry Vanessa she said no . Which I could agree . Shule na media experience ipo pale . Lulu is a useless wife .
Wewe mama ukishakosolewa huwa unakimbiliaa huku lkn wengine wakikosea lazima uwaulize huko shule walienda kusomea ujinga,ptuuHuwezi na Hutoweza Kuongea / Kuandika Kiswahili fasaha
Kiswahili ni lugha ambayo imetokana na Kiarabu na Kibantu na maneno mengine machache yaliongezeka kidogo kidogo kutoka lugha zingine za Afrika, Uropa na Asia. Kabla ya kuja wakoloni wa ki Uropa maandishi yote ya Kiswahili yalikuwa kwa herufi za Kiarabu na matamshi yalikuwa kwa lafdhi ya...www.jamiiforums.com
Dadeki!! Umeandika kibabe Sana Mkuu.Kampuni ni yake ana haki ya kuiendesha anavyotaka hakuna wa kumpangia. Ile sio ofisi ya serikali kusema anawazuia watanzania kufanya nae kazi.
Kama kaomba gemu (hajatumia nguvu yaani kubaka) then demu ana haki ya kukubali au kuchomoa sio lazima. Ila ulalamishi waache.
Tunawaambia kila siku hapa Dunia au ulimwengu una mambo yake, the only safe space ambayo mwanamke una guarantee ya kupewa attention na care ni kwenye familia ya wazazi wako au kwenye familia yako ya ndoa. Huku nje usitegemee any special treatments as if anybody owes you special treatments.
Waache kulalamika wachague kupigwa mashine then wapate wanachoomba au wapite hivi. Wanaume wanazinguliwa kila siku na walishalalamika nao ila wameamua kukubali.
Mliyasikia pale clouds Media why mshangae kwa majizo. Yaani mtu ajenge empire lake wewe mtoto wa kike uende kirahisi rahisi akubebe utoboe ujenge maisha yako yeye asipate chochote, how is that benefits both sides?
Wala hatutetei ila tunaelezea uhalisia, music industry huwezi kuitenganisha na ngono, pia mtu ukiombwa rushwa nenda kashtaki mamlaka zipo wazi, sio unakaa nalo unakuja kulitoa miaka imepita tena kwenye mitandao ya kijamii, rushwa ya ngono ni udhalilishaji kwanini mtu afumbie macho udhalilishaji kama ushahidi upo,Na cha ajabu wanawake ndio wako mstari wa mbele kumtetea!!
Seems tumeshaharibikiwa hadi kuna mambo tunaona ni sawa tu[emoji134][emoji134][emoji134]
Wewe Binti inaelekea una mafanikio kiasi fulani katika maisha yako,lakini pia inaelekea unadharau sana watu ambao hawajafanikiwa kimaisha.Inaelekea pia kwamba una-amini mafanikio katika maisha haya ndio kila kitu,sio, kwa kuwa hapa duniani tunapita tu.Kumbuka kwamba maskini naye ni mtu,kwa hiyo anastahili kupendwa na kutiwa moyo katika umaskini wake.Sikiliza Binti,hata ungekuwa na nini, kama huna upendo si kitu wewe.Salamu kina kaka, epuka kuanza mahusiano na mwanamke ambae hata simu ya mkononi hana. Huyo ni kiashiria kwamba ni mwanamke asiye mtafutaji.
Pia kama simu yake ni mbovu ni kiashiria kuwa maisha yake ni magumu na atakuchuna sana.
Mi nachojua hili jambo linakera sana na km hujawahi hata kuflirt na mwanaume mnyanyasaji utamchukulia hatu thabiti km kumshitaki kumfanyia figisu apoteze kibarua ama kumpuuza,, lakini kitendo cha kuishi nalo miaka nenda rudi baada ya kufungiwa vioo na kutopokelewa simu yake ndo kaona alinyanyaswa,, huu ni uhuniWala hatutetei ila tunaelezea uhalisia, music industry huwezi kuitenganisha na ngono, pia mtu ukiombwa rushwa nenda kashtaki mamlaka zipo wazi, sio unakaa nalo unakuja kulitoa miaka imepita tena kwenye mitandao ya kijamii, rushwa ya ngono ni udhalilishaji kwanini mtu afumbie macho udhalilishaji kama ushahidi upo,
Ila kwenye suala la Ruby na Majizzo, maelezo ya Ruby ndio yanayomtoa Majizzo kwenye lawama, kwanini wakati Majizzo anamlipia sessions za studio na kumconnect na watu aliona anapewa sapoti ila yeye kushiriki kwenye mabonanza ya Majizzo na kulipwa laki tano aone ni unyanyasaji na sio sapoti???
Nimemkumbuka na yule msanii wa Nandy jina limenitoka alikuwa anavaa vizuri tu lol ghafla kaanza kuveshwa vidude tu hahaa dunia haina hurumaWala hatutetei ila tunaelezea uhalisia, music industry huwezi kuitenganisha na ngono, pia mtu ukiombwa rushwa nenda kashtaki mamlaka zipo wazi, sio unakaa nalo unakuja kulitoa miaka imepita tena kwenye mitandao ya kijamii, rushwa ya ngono ni udhalilishaji kwanini mtu afumbie macho udhalilishaji kama ushahidi upo,
Ila kwenye suala la Ruby na Majizzo, maelezo ya Ruby ndio yanayomtoa Majizzo kwenye lawama, kwanini wakati Majizzo anamlipia sessions za studio na kumconnect na watu aliona anapewa sapoti ila yeye kushiriki kwenye mabonanza ya Majizzo na kulipwa laki tano aone ni unyanyasaji na sio sapoti???
Hakuna msaada usio na malengo,Previous Vanessa Alisema rushwa ya ngono ni issue kubwa sana kwa industry. Na kuna report Majizzo was after her na aliamua kuacha muziki Kabisa.
Currently ruby Anasema Tena. The same things. Same person yupo accused. Sasa, till when tutachukua hatua hata kumuhoji? Why? What measures anachukua on his company? Why just him? Watu wanamuangalia tu?
Currently ruby Anasema Tena. The same things. Same person yupo accused. Sasa, till when tutachukua hatua hata kumuhoji?
Eeh, wanasema industry ndio inavyotaka.... sasa kwa mtoto wa kike ni changamoto sana.Nimemkumbuka na yule msanii wa Nandy jina limenitoka alikuwa anavaa vizuri tu lol ghafla kaanza kuveshwa vidude tu hahaa dunia haina huruma
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza ni PM mkuu