Msanii Ruby amlipua Majizzo: Rushwa ya Ngono na mambo faragha

Ruby ni dada m1 mwenye msimamo,hata ruge alimpoteza kwenye industry ya muziki kwa sababu kama hizi kumkomoa ruby akampandisha nandy,ruby alishawahi kuongelea hii kitu
Yeah very true kabisa... Shida nimeona kwenye replies wafu wengi wanampenda, ila huo ndio uhalisia.... Hawa Mabosi wenye TV na Mabosi wengi hadi serikalini wanapenda sana chini
 
Kati ya wanawake 100 wanaotongozwa 99 wanaliwa, anabaki mmoja, hao 99 hawawezi lalamika maana wameliwa, pengine yeye pekee ndo anakaza, nampa credit, mwache aongee.
True... Uwezi kulalamika wakati washakula mzigo 😂, demu ukishamla hawezi kukutukana
 
Uenda inawezakana... Lakini mbona kasema mwenyewe kwamba kabana kuliwa
 
Nataman nione mwisho wa hii vita, maana Hilo bomu alilotupiwa MJZ sio dogo...... Akili Kalia kimya lazima litazua maswali mengi.
 
Kitu gani kimeshangaza mengi? Labda kimekushangaza wewe lakini siyo wengi. Hivi kweli unajifanya hujui kuwa ngono vs fedha ni jambo lililo nje nje kwenye hawa wanaojiita wasanii?
 
Nataman nione mwisho wa hii vita, maana Hilo bomu alilotupiwa MJZ sio dogo...... Akili Kalia kimya lazima litazua maswali mengi.
Mke wake mwenyewe "Lulu Elizaberth Michael" ni bingwa wa hizi kazi za kuchambana mitandaoni.

Ngoja tuone Majizzo atajibu au mke wake ndio atakuja kutetea mume wake
 
Kitu gani kimeshangaza mengi? Labda kimekushangaza wewe lakini siyo wengi. Hivi kweli unajifanya hujui kuwa ngono vs fedha ni jambo lililo nje nje kwenye hawa wanaojiita wasanii?
Kilichonishangaza ni namna Ruby alivyotamka kwamba amemnyima ngono Boss, mi nikajua Sisi kapuku ndio uwa tunanyimwa kumbe hadi wenye pesa zao... Mimi nimeshangaa Ruby ameweza je kumkazia majizzo?
 
Nani amkemee? Bwana mdogo sikiliza. 1. Huyu mwanamke hawezi kumkataa huyo jamaa, labda kuna vitu vingine wameshindwana tu. 2. Akamewe na nani wakati hii ndiyo hali halisi ya maisha ambayo watanzania wameeamua kuishi? Nenda kwa wachungaji, wanasiasa, wafanyabiashara, wakulima, machinga.... kila mtu anatumia fursa ya kazi na fedha yake kuomba ngono
 
Kilichonishangaza ni namna Ruby alivyotamka kwamba amemnyima ngono Boss, mi nikajua Sisi kapuku ndio uwa tunanyimwa kumbe hadi wenye pesa zao... Mimi nimeshangaa Ruby ameweza je kumkazia majizzo?
Mkuu ukiona hivyo ujue kuna vitu vingine wameshindwana. Hawa wanaoitwa wasanii wa kike Bongo pato lao linapatikana kwenye kujiuza, japo kujiuza kwao ni kwa kistaarabu na kimkakati sana.
 
Kichwa chako nakionea huruma jinsi kilivyo kama cha mtoto mdogo. Yaani hawa wanajiita wasanii hapa Bongo wambanie mwenye fedha?
Ofisaa... Ruby kasema kwa kinywa chake kwamba kambania Majizzo, sasa unataka nimkatalie kwamba si kweli wakati Majizzo mwenyewe hajatokea hadharani kukanusha... Kukaa kimya ni kitendo cha kukubaliana na yaliyosemwa...

Nyie ndio mahakamani uwa mnafungwa kwa kuhalalisha mambo ambayo hauna ushahidi nayo... Tupe ushahidi kuwa Ruby ameliwa na majizzo, mimi nimekupa ushahidi wangu hapo kwa kutumia kauli yake mwenyewe Ruby kwamba hajaliwa
 
Sawa tunakubaliana na wewe... Hila hiyo hali haimaanishi wanawake wengine hawakatai, wapo ambao wanawakatila maboss, inategemeana na jinsi alivyojiweka mwenyewe.
 
Afisaa... Nikija kwenu nikakuambia kwa kinywa changu kuwa mimi ndiye nililala na mama yako ukazaliwa wewe, hivyo mimi ni baba yako inatosha kukuaminisha kuwa mimi ni baba yako?
 
Afisaa... Nikija kwenu nikakuambia kwa kinywa changu kuwa mimi ndiye nililala na mama yako ukazaliwa wewe, hivyo mimi ni baba yako inatosha kukuaminisha kuwa mimi ni baba yako?
Yes kama na yeye muhusika alisikia na hakukanusha basi moja kwa moja tunapigia mstari ni kweli
 
Kwa hiyo wewe unaamini kabisa tuhumu huondoka kwa mhusika kukanusha?
Kwani mahakama ufanyaje kazi... Hiyo kwa lugha ya Mahakama uitwa Testimonial evidence, na Testimonial evidence inaweza kukufunga...

Kwani ukisikia Serikali au kiongozi anatuhumiwa kwa ubadhirifu wa fedha inamaanisha sio kweli? Itakuwa sio kweli endapo muhusika naye akitoka adharani kujibu na kukanusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…