Kwa kweli wanawake wanapata tabu sanaaa kwenye rushwa za ngono, si maofisini wala uongozini na wale wanaojua kula na kipofu kwa hesabu nzuri, ndio huwa wanafika mbali kirahisiYeah very true kabisa... Shida nimeona kwenye replies wafu wengi wanampenda, ila huo ndio uhalisia.... Hawa Mabosi wenye TV na Mabosi wengi hadi serikalini wanapenda sana chini
Halafu hili kama kweli vile, support ni kama msaada unless mmekubaliana kibiashara 😁😁😁Lakin sio lazima kupewa sapoti
Andika kifupi:Aache mdomo mrefu......mtu gani alimchamba Hadi bibi wa mjukuu wake,!alikuwa na sababu gani za kumchamba mama yake Kusah?huyu anachambachamba watu hovyo hiyo itamcost........Anachokiongelea ruby kimeshazungumzwa na wasanii wengi japo wao huwa hawapo bold kutaja majina ya waliowataka. Ndio maana hata Lady jay dee alishakiri kuwa Ruby ni wakuombewa maana vita yake ni kali
Ila upande mwingine nae ajitafakari, si ajabu hata kampuni zinaogopa kumpa endorsements kwa sababu wanaogopa kama kitu kikienda wrong kiubinadamu, anaweza kuwaripua na kuharibu brands zao. Angejifunza si kila vita ni ya kupigana
Mke wa Majizo kwa akili zake akijitokeza kuliongelea hilo nina uhakika atasema "Pole sana shosti wangu, tena umekua mstaarabu sana, maana mimi naona bado haujaongea yote. Tukutane nikupe umbea mwingine zaidi, ila tu cha ajabu ni kuwa hatutaachana, sasa sijui ameniroga au ni mimi nimemroga."Ni kama anatapatapa tu...
Imagine mtoto mlaini kama lulu!Kuna wanaume hawaridhiki na vitu vizuri walivyo navyo. Majizo ana mtoto mkali lulu, anahangaika na ruby wa nini? Ruby mwenyewe si yule wa wimbo wake wa mwanzo 'na yule' alikuwa pisi kali hasa enzi hizo
Huyu Ruby angejituliza tu,Sasa anasema kamnyima papuchi Boss,wakati Huo Huo analalamika Boss hapokei simu yake,yaani hapo ni kama ana stress za kutopewa attention
Mke wa Majizo kwa akili zake akijitokeza kuliongelea hilo nina uhakika atasema "Pole sana shosti wangu, tena umekua mstaarabu sana, maana mimi naona bado haujaongea yote. Tukutane nikupe umbea mwingine zaidi, ila tu cha ajabu ni kuwa hatutaachana, sasa sijui ameniroga au ni mimi nimemroga."
😀
Sasa mbona anaforce asaidiwe?kama alishamkataa hakuwa na sababu ya kuongea hivyo kwenye mtandao,huko ni kuharibia mwenzie brandy yake aliyotumia muda na Nguvu kuitengeneza,na pia kutaka kuleta migogoro kwenye ndoa za watu,,stupid girl atakaa hivyo hivyo kila mtu ataogopa kumsaidiaKwa kweli wanawake wanapata tabu sanaaa kwenye rushwa za ngono, si maofisini wala uongozini na wale wanaojua kula na kipofu kwa hesabu nzuri, ndio huwa wanafika mbali kirahisi
Kama rose muhando tu hakuogopwa licha ya jina na uinjilishaji wake, itakuwa Ruby
Sisemi tuhuma za Ruby ni kweli Ila hatuwezi kujitia upofu kwa khona hii rushwa za ngono ni kitu kipya kwa wanawake
Una uhakika?Upwiru upo kila siku... Uzuri wa ndoa ni kwamba unakuwa na Access ya Mzigo muda wowote
Ume balance vizuriKwa kweli wanawake wanapata tabu sanaaa kwenye rushwa za ngono, si maofisini wala uongozini na wale wanaojua kula na kipofu kwa hesabu nzuri, ndio huwa wanafika mbali kirahisi
Kama rose muhando tu hakuogopwa licha ya jina na uinjilishaji wake, itakuwa Ruby
Sisemi tuhuma za Ruby ni kweli Ila hatuwezi kujitia upofu kwa khona hii rushwa za ngono ni kitu kipya kwa wanawake
Uko sahihi kabisa....we subiri show ya Lulu baada ya hili kupita,lazima aonyeshe umma ndoa yake ipo imaraLulu amekaa jela.
Mwanamke yeyoye aliyewai kukaa jela kwa bahati mbaya anakuwa matured sana.
Jela ni bonge la shule kuhusu maisha
ukishamzoea (unalala naye, unaamka naye daily) unamuona wa kawaida sanaImagine mtoto mlaini kama lulu!
Yaani kale katoto kana akili sana mixer ya kihaya na kichaga....Ruby safari hii game yake hajajua anayecheza nae,alizoe kumchamba na kumuonea Aunty Ezekiel mwenye akili zake kisoda😁😁😁Mke wa Majizo kwa akili zake akijitokeza kuliongelea hilo nina uhakika atasema "Pole sana shosti wangu, tena umekua mstaarabu sana, maana mimi naona bado haujaongea yote. Tukutane nikupe umbea mwingine zaidi, ila tu cha ajabu ni kuwa hatutaachana, sasa sijui ameniroga au ni mimi nimemroga."
😀
Huwa ni vitamu sana hivi vidada. Kumbuka, the near the bone the sweeter the meat.Ila vidada vyembamba jamani...... puuuu mbaka
Ila kweli ndo maana gemu la demu mpya mwanaume huchokiukishamzoea (unalala naye, unaamka naye daily) unamuona wa kawaida sana
unajipa moyo mkuu.....mfupa tangu lini ukawa mtamu bila kungata nyama kidogoHuwa ni vitamu sana hivi vidada. Kumbuka, the near the bone the sweeter the meat.
labda kwa vile hayajamkuta dada yako au mtu wako wa karibu ndo utaamua kuwa negative kiasi hichoIla kuna jambo halipo sawa kwa huyu Ruby.
Nahisi huwa ana namna ya kuaminisha wanaume wanaomzunguka kuwa anataka kupigwa dudu halafu akiombwa papuchi anabadilika.
Haingii akilini kila siku ni yeye tu anaeombwa uchi huku akidai hataki kuutoa.
Huyu demu ana mdomo mno mpaka kauthiri kipaji chake. Kila anaekuwa karibu nae kumsaidia huishia kumsemea mbovu.
Sijipi moyo, naongelea ninacho experience, pia nahisi haujasoma ukaielewa comment yangu.unajipa moyo mkuu.....mfupa tangu lini ukawa mtamu bila kungata nyama kidogo
😂 mzee wa draft, naona unasogeza kete mdogo mdogoLegends tukiliangalia hili tukio, tunachokiona wala si shambulio kwa Majizo, huyo anafanya kuzunguka tu. Hili shambulio amelilenga kwa kwa yule mke wa Majizo, huyo ndiyo ana bifu naye.
Inakuwaje watu mnashindwa kuona vitu obvious kama hivi? Mnakuwa kama hamjawahi kucheza draft bwana?
Wewe ukiitwa Mwizi, husipokanusha tutajua ni Mwizi kweli... Sasa hapo shida hiko wapi OfisaaAre you kidding me? Unaleta janja ya ''nyani kula mahindi mbichi''? Kwenye mambo ya tuhuma na uhalifu, binadamu tungekuwa tukisema ''ndiyo'' kweli inaanisha ndiyo, na tukisema ''hapana'' pia inamaanisha hapana, dunia isingekuwa kama ilivyo sasa.