Msanii Ruby amlipua Majizzo: Rushwa ya Ngono na mambo faragha

Sasa si Bora angempa Majizzo amnyime Kusah😁😁😁😁😁
Kusah handsome boy, anajua kudeka... Sasa wanawake wengi ambao wamepitia misukosuko ya mahusiano wanapenda wanaume wa hivyo... Ndio maana hata kumzalia huyo mwanaume wako tayari Tizama Aunt Ezekiel aliozaa nao, Tazama Wolper aliozaa nae, unakuta wadada wengi Sampuli hiyo wanadakwa sana na hawa vijana mabishoo
 
Mbona majizo ana demu pisi kali Lulu, inakuaje tena atake mzigo kwa Ruby, au ndiyo ile kuwa na hela ndiyo utake kupitia kila pisi kali inayokatiza mbele zako?
Hiyo wala haihusiani kabisa na hilo, sisi wanaume tunajijua!! Eti ukiwa na demu mkali, ukitakata demu nje lazima awe mkali kuliko huyo uliyo naye!!hesabu ya wapi hiyo?
 
sasa mwanaume unadeka nini....mwanaume unalambaje midomo....aisee sijui wanawake tunatofautiana machaguoo
wengine tunapenda vijeba mashababi wengine wanakumbatia vikaka vinajichubua
 
Sasa mwanaume wa kudeka wa kazi gani,? mwanaume anayedeka seriously?Aache kudeal na kina majizo hawezi hata kuchana nywele Yuko busy na wapaka piko?amwambie Kusah ampe support
 
Wamejiongeza wenzie,sio Ruby anabaki kulea vi marioo ,in the name of love,mara Kusah mara nani nani sijui vi brazameni,vinaishia kumpa cheo Cha usingle maza tu.....Si bora angejioongeza Kwa Majay😁😁😁
Pale kwa Majizzo, Lulu alikwisha piga Lock kitambo, hakuna mtu kuvamia kambi.... Mpaka anaenda Jela alihakikisha hakuna Haramia anayeingia kwa Majay na kuweka kambi ya moja kwa moja, mtoto yule ni Jasusi.

Mi ninachoshangaa ni kwa nini hawa mastaa wa kike wanazunguka kwa Wanaume wale wale... Mobetto kazaa na Majizzo na Diamond, Yani wanazungukana, mbona wanaume ni wengi sana.
 
Anyhow alichosema sio cha kupuuzwa

Anapitia magumu na anahitaji supprt

Toeni namba tumchangie
 
Sasa mwanaume wa kudeka wa kazi gani,? mwanaume anayedeka seriously?Aache kudeal na kina majizo hawezi hata kuchana nywele Yuko busy na wapaka piko?amwambie Kusah ampe support
Hata hao kina Aunt Ezekiel na Wolper walikuwa wanasema mwanaume wa kudeka wa kazi gani... Ila sasa ndio mpaka wamewazalia πŸ˜‚
 
Ukimsikiliza Ruby clip yake anaongelea tangu enzi za Nyuki Djs,hapo lulu bado anarukaruka na Kanumba,,huyu Ruby asitafute mchawi,mchawi ni mdomo wake....Pale Kwa Nandy ilikuwa nafasi yake ila mdomooooo sijui hajapita mkoleni yule mtoto
Masupasta wa bongo akili zao wanazijua wenyewe,saa hizi wanamvizia bwana wa Hamissa😁😁😁😁
 
Haya apokee simu za hongera kutoka kwa marafiki zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…