Msanii Ruby amlipua Majizzo: Rushwa ya Ngono na mambo faragha

Msanii Ruby amlipua Majizzo: Rushwa ya Ngono na mambo faragha

Ila kuna jambo halipo sawa kwa huyu Ruby.

Nahisi huwa ana namna ya kuaminisha wanaume wanaomzunguka kuwa anataka kupigwa dudu halafu akiombwa papuchi anabadilika.

Haingii akilini kila siku ni yeye tu anaeombwa uchi huku akidai hataki kuutoa.

Huyu demu ana mdomo mno mpaka kauthiri kipaji chake. Kila anaekuwa karibu nae kumsaidia huishia kumsemea mbovu.
Huyo ni psychiatric. Sio majiko tu, hata mimi mtu wa huku Keisho Karagwe siwezi muomba.
 
Vanessa Mdee alishawahi kulalamika kuwa wasanii wa kike ni ngumu mno kutoboa kutokana na vikwazo wanavyokutana navyo kwenye tasnia ya muziki. Imagine mtu kama Lina Sanga kuna yule binti anaitwa Pipi alikuwa na sauti nzuri sans lakini aliacha kuimba. Hata Angela wa Harmonize figisu ni nyingi kwa mabinti. Vanessa hataki tena kusikia habari ya muziki wa bongo na alikuwa na talent kubwa.
Ni kweli ukiwa mtoto wa kike ni ngumu sn kutoboa bila rushwa ya ngono. Ni wananyanyasika haswa, na ukiwa mgumu kutoa ndo hvo kipaji kinakufa
 
Ila kuna jambo halipo sawa kwa huyu Ruby.

Nahisi huwa ana namna ya kuaminisha wanaume wanaomzunguka kuwa anataka kupigwa dudu halafu akiombwa papuchi anabadilika.

Haingii akilini kila siku ni yeye tu anaeombwa uchi huku akidai hataki kuutoa.

Huyu demu ana mdomo mno mpaka kauthiri kipaji chake. Kila anaekuwa karibu nae kumsaidia huishia kumsemea mbovu.

Kati ya wanawake 100 wanaotongozwa 99 wanaliwa, anabaki mmoja, hao 99 hawawezi lalamika maana wameliwa, pengine yeye pekee ndo anakaza, nampa credit, mwache aongee.
 
Kati ya wanawake 100 wanaotongozwa 99 wanaliwa, anabaki mmoja, hao 99 hawawezi lalamika maana wameliwa, pengine yeye pekee ndo anakaza, nampa credit, mwache aongee.
Sio rahisi ruby kumkataa majizo inaonekana ruby kashaliwa sasa tena mwamba kapita kisela halafu shida ya ruby anaharaka sana anapenda kupewa first priority

Hata kipindi kile aligombana na clouds anataka alipwe malipo ya show zaidi ya wenzie sababu yeye anatembea na boss
 
Mi niwe na demu pisi kali kama luku, ya nini kuhangaika na milupo ya nje isiyo na kiwango kama mke wangu? Majizo naye ajue kuwa ruby ni demu wa mtu, atajisikiaje demu wake lulu kuna njemba inamfukuzia? Atulie na mke wake asitake vurugu za kimapenzi
 
Yeye msanii atoe hit song aache visingizio

Management ya Ruby haijui biashara ya muziki.. wanamuachia Ruby afanye kila kitu ndio hayo yanatokea.. hit song hakuna wanabaki wanalalamika lalamika

Zama za social media mziki mzuri unatembea wenyewe.

Wasanii wa kike mara nyingi hawawezi kuandika nyimbo.. Ruby alipaswa awe na waandishi wazuri wa kiume wamwandikie.

Nandy ana bahati anaandikiwa na Billnass, Zuchu ana bahati anaandikiwa chini ya usimamizi wa lebo yake WCB.

Ruby alipaswa awe ananunua hata collabo za hits song za wasanii wengine ili kukuza brand

Tiwa savage msanii mkubwa ila amelipia collabo ili awekwe kwenye who is your guy.. sabab wanajua hits song ndizo roho za msanii kupiga pesa

Diamond anawalipa wacongo na kuwekwa kwenye collabo za hit songs zao sababu anajua hilo

Mario msanii mkubwa ila lonely alindikiwa yeye akairudia tu kila kitu..ili wapate hit song ya kutangaza album yake..

Ruby hana hit song tena zaidi ya huyu na yule kipindi yupo THT na Ruge... Leo anaimba upuuzi halafu anasema anabaniwa..
Ndiyo nakubaliana na wewe Ila kukosa hit song ndio wamuombe utelezi.....utu wake anaulinda awe na hit song asiwe nayo.
 
Hata mimi niko hapa na watu wa kijijini kwetu nao wameshangaa sana baada ya kuona hii video ya huyu dada. Kesho tutafanya tambiko kwa sababu sio hali ya kawaida.
Natamani nicomment kitu lakini Hilo jina lako linanikata steam nahisi tutagombana tupigwe ban Bure.....hivi wewe mama Samia unajua umeme unavyosumbua Sasa?
 
Sio rahisi ruby kumkataa majizo inaonekana ruby kashaliwa sasa tena mwamba kapita kisela halafu shida ya ruby anaharaka sana anapenda kupewa first priority

Hata kipindi kile aligombana na clouds anataka alipwe malipo ya show zaidi ya wenzie sababu yeye anatembea na boss
Mbona hata katika hiyo video alitakaajichanganye akakatisha faster. Et alifungiwa chumba mlango unafinger print what next na hatukuwah sikia kama majizo aling'atwa
 
Back
Top Bottom