Picha yake tafadhali, kwa muanzisha mada. Bwana alitoa, Bwana ametwaa. Poleni wahusika wa karibu, mtoto, mke na wazazi. Poleni watanzania kwa kuondokewa na kipenzi chetu.
Kikubwa tukumbushane kuwa duniani sio petu, tunapita tu kwahiyo kila mtu lazima aimalize safari bila kujua mwaka, mwezi, siku, saa, dakika wala nukta.
Tunapaswa kuwa tayari wakati wote kuchukuliwa. Mungu atusaidie katika yote na kutupa nguvu ya kutimiza yaliyo mema.
Ee Mungu tusaidie..