TANZIA Msanii Sajuki afariki dunia

TANZIA Msanii Sajuki afariki dunia

have missed u! nimerudi!

naomba nisichakachue uzi wa majonzi ila ninamichapoje???????????????????
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, umbea umenijaaje?? halafu sasa nimekumissssssssssssije??????????????????
utaniona leo kwa gharama yyte ile.
 
Hii habari awali ilikuwa kwenye jukwaa la habari na hoja. Nashangaa sana Mods kuihamishia huku wakati ni habari ya msiba !!!!!

R.I.P. Sajuki
 
Bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana libarikiwe,Aimen.Wastara pole sana ila Mungu anamakusudi yake.Mlilie kwa habari yako na mtoto wako atakujibu.Mungu wetu ni Mungu wa rehema
 
Very sad indeed. R.I.P Sajuki,
Pole sana Wastara..
 
haya tuone mzee wa nyumba nyeupe utalisha watu cku zote za maombolezo? shughuli za serikali zitacmama viongoz wote kwenda mcbani kama ilivyokua kanumba? kova utapgia tena salut jeneza?..only time will tell
 
Picha yake tafadhali, kwa muanzisha mada. Bwana alitoa, Bwana ametwaa. Poleni wahusika wa karibu, mtoto, mke na wazazi. Poleni watanzania kwa kuondokewa na kipenzi chetu.

Kikubwa tukumbushane kuwa duniani sio petu, tunapita tu kwahiyo kila mtu lazima aimalize safari bila kujua mwaka, mwezi, siku, saa, dakika wala nukta.

Tunapaswa kuwa tayari wakati wote kuchukuliwa. Mungu atusaidie katika yote na kutupa nguvu ya kutimiza yaliyo mema.

Ee Mungu tusaidie..
 
Back
Top Bottom