Rahim jumanne
New Member
- Jan 2, 2013
- 1
- 0
RIP juma kilowoko "SAJUKI"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kile kipindi usikute kina miezi zaidi ya mi2 tangia kiwe recorded.
because death ndo mwisho wa kila binadamu sasa wewe ulitaka usi like kifo cha Sajuki(kupumzika) ulitaka afe ndugu yako?hakuna aliyekuja kuurith ulimwengu hata wewe utakufa na nikipata taarifa za kifo chako nta hit LIKE!Sasa nyie mnaobonyeza "like" ina maana hiyo habari inafurahisha? Watu wengine mnashangaza sana. Mnaletewa habari ya kifo, then mna bonyeza "I like this". What exactly do you like about the death of this young man. R.I.P, Sajuki.
Ni kweli tumempoteza jembe he was sooooooooo special.Alikuwa anafit sehemu zake zilivyo.kweli si binadamu maua jamani tupendane tusidharauliane,leo amekuwa Sajuki hatujui kesho atakuwa nani,labda atakuwa wewe au mimi?????????lets live with peace and love.WITH SYMPATHY ALL THE TANZANIA'S.R. I. P. Sajuki. Nikiiangalia movie yako ya Brifcase nalia kwa machungu. Tumepoteza jembe ktk tasnia ya filamu.