TANZIA Msanii Sajuki afariki dunia

TANZIA Msanii Sajuki afariki dunia

Pole kwa Wastara na watoto wa marehemu. Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi
 
Jaman,nimeumia sana kusikia hz taarifa, lkn yote ni mipango ya m/mungu.R.I.P kaka yetu.
 
Innalilah wainnaa ilaih raajiuun, Mungu amlipe anachostahili.
 
Apumzike kwa Amani Juma aka Sajuki.......Mungu anapenda vijana siku hizi kwahiyo tujiandae ndugu na jamaa maana hatujui siku wala saa
 
Sasa nyie mnaobonyeza "like" ina maana hiyo habari inafurahisha? Watu wengine mnashangaza sana. Mnaletewa habari ya kifo, then mna bonyeza "I like this". What exactly do you like about the death of this young man. R.I.P, Sajuki.
because death ndo mwisho wa kila binadamu sasa wewe ulitaka usi like kifo cha Sajuki(kupumzika) ulitaka afe ndugu yako?hakuna aliyekuja kuurith ulimwengu hata wewe utakufa na nikipata taarifa za kifo chako nta hit LIKE!
 
RIP Sajuki. Ni jana tu nilikuwa naangalia kipindi chako, Wastara na Salama Jabir!
 
Sajuki na wastara wameacha history ya mapenzi ambayo kila mtu atajifunza...so sad mungu kakupenda zaidi
 
RIP Sajuki, We are symphatised with the News. We loved you but God loves you more, we fill sory to your family left but God will keep protecting them with power as his wll
 
R. I. P. Sajuki. Nikiiangalia movie yako ya Brifcase nalia kwa machungu. Tumepoteza jembe ktk tasnia ya filamu.
Ni kweli tumempoteza jembe he was sooooooooo special.Alikuwa anafit sehemu zake zilivyo.kweli si binadamu maua jamani tupendane tusidharauliane,leo amekuwa Sajuki hatujui kesho atakuwa nani,labda atakuwa wewe au mimi?????????lets live with peace and love.WITH SYMPATHY ALL THE TANZANIA'S.
 
Back
Top Bottom