Kuna starehe mwenzenu Toka usichana na uzee vimenipitaWanaenda na wakati
Na ukiwaambia wanakuambia ni starehe,siyo dhambi.
Mnaongea kwa kificho..amefariki ugonjwa gani uliosababishwa na mtindo wa maisha yake? Tungependa kujifunzaKuna mtu alisema jana.. π₯²
Mtindo wa maisha yetu vijana .. inabidi kufanya review
Kifo kipo tu.tema mate shukuru Mungu kwa uhai then kaa kimyaa.
Mwenyezi Mungu amweke panapostahili
Mwimbaji wa Bongofleva na mwanachama wa JamiiForums, Haitham Kim amefariki dunia hospitali ya Temeke alipokuwa anapatiwa matibabu. Meneja wake amethibitisha.
Hivi karibuni Wasanii na Wadau wengine walianzisha kampeni ya kusaidia kuchangisha pesa kwa ajili ya matibabu yake.
Bryson ambaye ni Mume wa Marehemu alisema hali ya Haitham ilibadilika ghafla siku saba zilizopita akisumbuliwa na upumuaji ambapo ilianza kama homa ya kawaida lakini baadaye akawa anakosa pumzi hadi kupelekea kuwekewa mashine na kuchomwa sindano za kila siku zilizogharimu shilingi laki 7 kwa siku.
Alikuwa na shida ya upumuaji, inasemekana alikuwa anavuta shishaMnaongea kwa kificho..amefariki ugonjwa gani uliosababishwa na mtindo wa maisha yake? Tungependa kujifunza
Mapafu yaliharibika nadhaniSindano za laki saba kwa siku ni zipi pale Temeke hospital??
Kifo.. hakina huruma..Nyakati flani watu wapo tangulia mbele zetu.. kuna huzuni hutupata hata kujua hata sie tunapita.. safari ni moja.. Ila jambo la kushukuru tumeumbiwa kusahahu
Kifo kipo tu.
Either umshukuru Mungu, ama Usi mshukuru.
tuhamie kwenye mary janeπ€£ naskia haiui fastaDragon mtoto π€
Sitaki kucheka msibani
Totoo tuache ama vipi π€£π€£
Huyu nahic inaweza kuwa pulmonary tuberculosis imemuondoa..Sindano za laki saba kwa siku ni zipi pale Temeke hospital??
Shida wasanii wanajisahau sana hapa Duniani,mtu km diva anasema Kwa mwezi matumizi yake y kawaida ni 10 Ina maana anaingiza Si chini ya million per day,anaishi nyumba analipa Dola 2500,halafu Wanaita watu masikini wanaishi stooo etc wakipata shida Sasa hv wanageuka omba omba,Ruge aliumwa hakuna mtanzania alimdhihaki hta Professa na wastars NAE hawakudhihakiwa hivi vidada viba nyodo Sanaa Ndo maana watu wanawadhihakiMatibabu ni zaidi ya Starehe mkuu, usiseme hivyo kabisa. Kumbuka kwenye Starehe unatumia wakati huo huo unaingiza. Unapopata maradhi huingizi kitu bali unatoa tu.
Hata wewe ukiumwa kufikia mwezi 1 tu maisha yako yanabadilika.
Tumemuona hapa Prof Jay, kama sio huruma ya Mama Samia ilikuwa anarudisha jezi mapema sana, alikosa pesa za matibabu ya uhakika na watu walichanga lkn mpka pale Rais alipotoa tangazo la kumgharamikia.
Ugonjwa sio starehe ndugu yangu. Usitukane watu wala kukashifu kisa amefariki na hakuwa na hela za matibabu, hadi anapatwa na umauti unajua alitumia kiasi gani kwa matibabu achilia mbali huduma zingine muhimu?
Tuache Dharau, sisi ni Binadamu tu. Pumzi yako isikufanye kuwaona waliotangulia mbele za haki kama wazembe.
Shauri zako totootuhamie kwenye mary janeπ€£ naskia haiui fasta
Alikuwa anavuta shisha?Huyu msanii afya yake inaonekana ilikuwa tia maji tia maji ni vile hayo mashisha kama inavyosemekana yamekuja kuongeza udhaifu wa afya yake.
Binadamu hatabiriki mkuu. Unakula naye raha shida zikifika anakukimbia.Ni kweli wote tutakufa, ila chagua wa kula nae raha ambae utakula nae shida pia.
Rip Dunia, mapito hatuna Cha kuringiaUtamtambuaje akishirikiana na akina Dk. John na Mkoloni wa Kundi langu pendwa la Wagosi wa Kaya kutoka Tanga.
Kula Chuma hicho.......!!