mtanzania in exile
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 1,379
- 1,276
To be honest mimi huyu sijawahi msikia, ila nilikuja ona taarifa kwenye media kuwa yuko taabani hospitali na mumewe alisema alikuwa anapatiwa vyombo vya kupumua na shindano za laki 7 kila siku. Kilichonishangaza mimi ni kuwa huyo mumewe na marafiki zake walipotowa wito wa msaada wa kifedha kusaidia matibabu yake kutoka kwa wapenzi wake na wasmaria wema. Hapon dio nikajiuliza hivi hawa wanaojiita celebrities huko nyumbani wanatengeneza pesa kweli au kila kitu about them ni fake tu? Yaaani menagement yake pamoja na yeye mwenyewe ndio washindwe kulipa matibabu ya wiki tu?Everything about her is artificial. She lived a fake life.
Kwani hizo ni nyingi kwa hao wana bongoflava? Si kila ukiangalia video zao unaona wanakata life ya kimafanikioa na mavazi ya pesa nyingi nyingi? Inakuwaje leo 700k mastaa wote wa bongo flava ziwashinde na waanze kuomba wapenzi wao kuchangia?700k per day jomba
Sio dharau mkuu mtu kama irene uwoya alivyo na kibri na jeuri na majibu ya hovyo na divathebawse halafu waumwe waseme tuchange subutuu atakula alipo peleka mbogaMatibabu ni zaidi ya Starehe mkuu, usiseme hivyo kabisa. Kumbuka kwenye Starehe unatumia wakati huo huo unaingiza. Unapopata maradhi huingizi kitu bali unatoa tu.
Hata wewe ukiumwa kufikia mwezi 1 tu maisha yako yanabadilika.
Tumemuona hapa Prof Jay, kama sio huruma ya Mama Samia ilikuwa anarudisha jezi mapema sana, alikosa pesa za matibabu ya uhakika na watu walichanga lkn mpka pale Rais alipotoa tangazo la kumgharamikia.
Ugonjwa sio starehe ndugu yangu. Usitukane watu wala kukashifu kisa amefariki na hakuwa na hela za matibabu, hadi anapatwa na umauti unajua alitumia kiasi gani kwa matibabu achilia mbali huduma zingine muhimu?
Tuache Dharau, sisi ni Binadamu tu. Pumzi yako isikufanye kuwaona waliotangulia mbele za haki kama wazembe.
Hapana alikua na mmewe na wamekaa mda mrefu mnoo wanaenda miaka ht sita Saba hanaga skendo za kimalaya zaidi ya matatoo hayo na labda mashisha,Hawa bwana walikua wanapendana na niite bishoeni (mmewe)Kwani alikuwa malaya?
Huko huko Ontario CanadaNi kweli wote tutakufa, ila chagua wa kula nae raha ambae utakula nae shida pia.
Lord make me a rainbow, I'll shine down on my motherIf I die young, bury me in satin
Lay me down on a bed of roses
Sink me in the river at dawn
Send me away with the words of a love song
Namuonea wivu.
Yani kaondoka hivihivi bila kumuoa?700k ilikosekana
kwenye msiba atachangiwa 50m na wavuta shisha wenziwe
Acha porojo Mfuate sasaIf I die young, bury me in satin
Lay me down on a bed of roses
Sink me in the river at dawn
Send me away with the words of a love song
Namuonea wivu.
She had been admitted to Temeke Hospital with COVID-19-like symptoms. Doctors said she was suffering from respiratory problems, including pneumonia.Mnaongea kwa kificho..amefariki ugonjwa gani uliosababishwa na mtindo wa maisha yake? Tungependa kujifunza
Wonderful commentHujazoea kifo tu ? Kama visababishi basi watu wasiendeshe magari ,wasipande ndege wala meli ,wasile vyakula vya mafuta au vinjwaji vya viwandani kwa sana.
Excessive of anything is harmful ,kifo tunaishi nacho kwa kila tendo unalofanya unaweza kujipelekea kweny kifo...
HakikaKuna jamaa namnukuu alisema "suala la afya ni jukumu lako, ila jukumu la msiba wako ni juu yetu." mwisho wa nunukuu.
AsanteAlalie umeme