TANZIA Msanii wa Bongo Flava, Haitham Kim afariki dunia

TANZIA Msanii wa Bongo Flava, Haitham Kim afariki dunia

Everything about her is artificial. She lived a fake life.
To be honest mimi huyu sijawahi msikia, ila nilikuja ona taarifa kwenye media kuwa yuko taabani hospitali na mumewe alisema alikuwa anapatiwa vyombo vya kupumua na shindano za laki 7 kila siku. Kilichonishangaza mimi ni kuwa huyo mumewe na marafiki zake walipotowa wito wa msaada wa kifedha kusaidia matibabu yake kutoka kwa wapenzi wake na wasmaria wema. Hapon dio nikajiuliza hivi hawa wanaojiita celebrities huko nyumbani wanatengeneza pesa kweli au kila kitu about them ni fake tu? Yaaani menagement yake pamoja na yeye mwenyewe ndio washindwe kulipa matibabu ya wiki tu?
 
Matibabu ni zaidi ya Starehe mkuu, usiseme hivyo kabisa. Kumbuka kwenye Starehe unatumia wakati huo huo unaingiza. Unapopata maradhi huingizi kitu bali unatoa tu.
Hata wewe ukiumwa kufikia mwezi 1 tu maisha yako yanabadilika.

Tumemuona hapa Prof Jay, kama sio huruma ya Mama Samia ilikuwa anarudisha jezi mapema sana, alikosa pesa za matibabu ya uhakika na watu walichanga lkn mpka pale Rais alipotoa tangazo la kumgharamikia.

Ugonjwa sio starehe ndugu yangu. Usitukane watu wala kukashifu kisa amefariki na hakuwa na hela za matibabu, hadi anapatwa na umauti unajua alitumia kiasi gani kwa matibabu achilia mbali huduma zingine muhimu?

Tuache Dharau, sisi ni Binadamu tu. Pumzi yako isikufanye kuwaona waliotangulia mbele za haki kama wazembe.
Sio dharau mkuu mtu kama irene uwoya alivyo na kibri na jeuri na majibu ya hovyo na divathebawse halafu waumwe waseme tuchange subutuu atakula alipo peleka mboga
 
If I die young, bury me in satin
Lay me down on a bed of roses
Sink me in the river at dawn
Send me away with the words of a love song

Namuonea wivu.
Lord make me a rainbow, I'll shine down on my mother
She'll know I'm safe with you when she stands under my colors
Oh, and life ain't always what you think it oughta be, no
Ain't even gray, but she buries her baby
The sharp knife of a short life
Well, I've had just enough time

Rest In Peace!
 
20230901_135925.jpg


Hii style mpya ya jawline madem wabongo nao wameiga. Shavu kwenye taya inanyonywa mafuta.

R I p
 
Back
Top Bottom