Msanii wa bongo fleva na mwana JF BEIRA BOY Anawatakia kheri ya krismas na mwaka mpya

Jinsi unavyoropokaga pumba hapa jukwaani na ulivyosema uko kwa MOBETO kama boss wako ndo nimegundua kwann unaletaga the upuudhi jukwaaani! Kuwa chini ya mobeto huwezi kuwa Great thinker! Nakutakia sikukuu njema pia
Poa mkuu ubalikiwe nakutakia sikukuu njema kiongoz wangu
 
Beira Boy mwenyewe,London Boy mwenyewe yaani ww sijui ukoje!
 
Mobeto anajua kama umem post ndugu icje ku cost

Anyway mer xmas & new yia tu bro
 
Nimeweka ya boss maana yenyewe inajulikana tu picha yangu mimi nitaweka siku nikiiachia singo yangu
Utani tag ukiweka maana hapa jf suala la picha halisi linaonekana kama ni tishio kuweka sijui kwann.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…