Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa mkuu ubalikiwe nakutakia sikukuu njema kiongoz wanguJinsi unavyoropokaga pumba hapa jukwaani na ulivyosema uko kwa MOBETO kama boss wako ndo nimegundua kwann unaletaga the upuudhi jukwaaani! Kuwa chini ya mobeto huwezi kuwa Great thinker! Nakutakia sikukuu njema pia
Hakuna msanii wa kizazi kimya kuna Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya.Hivi kuna tofauti gani kati ya msanii wa bongo fleva na msanii wa kizazi kimya
Beira Boy mwenyewe,London Boy mwenyewe yaani ww sijui ukoje!Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu
Msanii wa kizazi kipya BEIRA BABY BOY ambaye yuko chin ya uongoz wa MOBETTO MUSIC View attachment 657976
Pia ni mwana jamiforum anawatakia kheri ta krismas na mwaka mpya
Beira ambaye ngoma yake ya kwanza itatoka tarehe 5 mwez wa kwanza na itatambulishwa na boss wake hamisa mobeto audio itatambulishwa clouds na video itatambulishwa EATV kwa samisago
NAWATAKIA KHER YA KRISMAS NA MWAKA MPYA
LONDON BOY
Dar Mwanza....???Hahaaa yule bado niko naye
Mbona mkuu now niko bongo nimekuja kula sikukuu mwaka mpya ukiisha nakula kona
Ah aha ha Huu Sasa Utan Wa Ngumi Ndugu YanguMkuu msalimie mobeto niulizie hivi mtoto hunyonyesha saa ngapi?
Merry Xmas to you!
Utani tag ukiweka maana hapa jf suala la picha halisi linaonekana kama ni tishio kuweka sijui kwann.Nimeweka ya boss maana yenyewe inajulikana tu picha yangu mimi nitaweka siku nikiiachia singo yangu
[emoji22] sio kweli uongo 2.Mimi rap iko damun yaan kama nakunywa maji tu
Safi kiongozi hahaha..Nilipigwa ban nikaachiwa mkuu now niko hewan nadunda na beg langu mgongon