Eleza vizuri ajali ilikuwaje maana sinza? Ameangukiwa na kontena au? Kama over speeding sinza?? Au alikuwa kelolo? Rip
Dah! Kuambiana hakuwahi kutumia hata robo ya kipaji chake, alikua na uwezo mkubwa sana kuliko kawaida! R.i.p director!
Mkuu MTOTO WA KUKU Asante kwa taarifa.Mkuu marehemu ADAM PHILIP KUAMBIANA ni mmoja wa watu wangu wa Karibu Sana...nimefanya kazi na marehemu zaidi ya miaka 7 na Kabla hajapata matatizo nimefanya nae movies 4 mfululizo zingine akicheza na zingine akiziongoza 1.mr Kadamanja 2.stupid father 3.who Si my child 4.kitoga.... muda wote mkiwa location Tumbo ndilo tatizo kubwa ambalo lilikuwa linamsumbua marehemu muda Sana na kabla hajakutwa na mauti alishawahi kuja ofisini kusema now ameshagundua tatizo linamsumbua ndani ya Tumbo lake Sasa anaitajika kufanyiwa upasuaji... Na kabla hajakutwa na mauti alilalamika tumbo kabla ya kuanguka ghafla na kukimbizwa hospital ndipo umauti ulipomkuta
Wabongo mshaanza sasa sifa zenu
Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
Alikuwa location anafanya shot akaanguka ghafla na kukimbizwa hospitali ya MARIE STOPES ya mwenge. R.I.P A.Kuambiana... pichahizo wale teampichaz.View attachment 158857View attachment 158858Mmmhhhhh makubwaa tupen taarifaa kamili wajamenii
Mkuu kuanguka si ajali? Au unafikri mpaka mtu agongwe na gari? Hata kujikwaa ni ajaliJamani kafa kwa ajali,au kaanguka na kufa ghafla..? Which is which
Mkuu MTOTO WA KUKU Asante kwa taarifa.
Unaoneka ni msanii tena msanii mkubwa,hupo leaders mlipo panga kukutana?
Mkuu kwanini umejificha nyuma ya Id ya mtoto wa kuku?