Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boda boda hatari sana.. roho mkonono.. juzi hapo hapo magomeni boda boda kagongwa na mwendokasi kafa
Ushauri tusipende sana kupanda boda boda kila mara..
Haisimami labda na yenyewe ishindwe kuendelea na safari hapo bodaboda ndio kagonga AmbulanceNamtakia apone haraka.
Hivi ukigongwa na ambulance hapo inakuwaje? Ambulance inakuchukua na kukukimbiza hospitali?
Ni kweli ajali haina kinga wala taarifa unaweza ukakwepa vyote ikakufata nyumbani kwako.Ajali haina kinga.
Hata utembee kwa miguu bado
gari litakufuata na kukugonga..
Ila jamaa wa ambulance nao wanatamba sanaaa.
Jana kuna mmoja kanikosa kwenye Kona.
Yaani kabla ya kuwasha ishara ya kuingia kushoto ameshapinda tayari
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Msanii mkubwa anatembea na bodaboda? ALishindwa kuita Ubber? Pole kwake ,Bodaboda sio usafiri salama kwa mijini.
mzee una uhakika?Hana hata stalet na IST all in all Mungu amponye
so pole pole ndio mwendoMke Wanangu ndio nishapiga marufuku ya Herufi kubwa kupanda Bajaji + boda boda
Tangu nishuhudie vile vibajaji vya njano vya manzese kimoja kimefinywa kimekua chapati
dereva mpk abria wake hamna alieweza omba hata maji,kibajaji cha njano ila kiligeuka kikawa RED
Kama mtu kaenda kuibadlisha rangi,pale ndio nikajua kumbe tuna risk sana haya maisha yetu kwa kujitia tuna haraka.
Pole zake..
Kwa jinsi jamaa alivyotapeli unaeza kudhani ni mzaha. Mungu ampe uponyaji.
Kwa mjini boda boda ni hatari sana ,si unakumbuka mod wa JF mzava alifariki kwa ajali ya bodaboda.nadhani kama sikosei jamaa ana gari,ila hata kama hana bado sio mbaya kupanda boda mkuu ni bora uishi maisha yako tu huku unalisha familia
Mbona Nyalandu anapanda bodaboda...!Msanii mkubwa anatembea na bodaboda? ALishindwa kuita Ubber? Pole kwake ,Bodaboda sio usafiri salama kwa mijini.
Kwa mjini boda boda ni hatari sana ,si unakumbuka mod wa JF mzava alifariki kwa ajali ya bodaboda.
ni kweli mkuu ni hatari lakini kuna muda mtu anakosa jinsi,alafu naskia jamaa alikua anaenda kuwafata wenzie ili wasafiri
Nafikiri na wewe unaingia humo humoNamtakia apone haraka.
Hivi ukigongwa na ambulance hapo inakuwaje? Ambulance inakuchukua na kukukimbiza hospitali?
Afee kabisa
why?Afee kabisa
Mnaongea tu nyie hamjui Haraka,na kingne ajali hata uwe umekaa nyumban utapata ajali tu mazee,kuna jamaa alikuwa mshona viatu kimara barut kakaa tu pemben ya barabara contena la lori likamuangukia,jamaa miguu yote ikapooza,ajali haina kinga hata angekuwa na gar usikute angepata ajali TUACHENI KUTOA LAWAMA et msanii kubwa kapanda boda boda
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Living in this earth is a death sentence,tofauti ni tarehe tu za kufa!why?