Msanii wa Filamu Kulwa Kikumba maarufu kama 'Dude' apata ajali

Msanii wa Filamu Kulwa Kikumba maarufu kama 'Dude' apata ajali

Ajali haina kinga.
Hata utembee kwa miguu bado
gari litakufuata na kukugonga..
Ila jamaa wa ambulance nao wanatamba sanaaa.
Jana kuna mmoja kanikosa kwenye Kona.
Yaani kabla ya kuwasha ishara ya kuingia kushoto ameshapinda tayari
Boda boda hatari sana.. roho mkonono.. juzi hapo hapo magomeni boda boda kagongwa na mwendokasi kafa

Ushauri tusipende sana kupanda boda boda kila mara..
 
Namtakia apone haraka.

Hivi ukigongwa na ambulance hapo inakuwaje? Ambulance inakuchukua na kukukimbiza hospitali?
Haisimami labda na yenyewe ishindwe kuendelea na safari hapo bodaboda ndio kagonga Ambulance
 
Ajali haina kinga.
Hata utembee kwa miguu bado
gari litakufuata na kukugonga..
Ila jamaa wa ambulance nao wanatamba sanaaa.
Jana kuna mmoja kanikosa kwenye Kona.
Yaani kabla ya kuwasha ishara ya kuingia kushoto ameshapinda tayari

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Ni kweli ajali haina kinga wala taarifa unaweza ukakwepa vyote ikakufata nyumbani kwako.

Yote kwa yote sisi tu wapitaji tu humu iweje tuogope hatima yetu ambayo ni kifo.
 
Mke Wanangu ndio nishapiga marufuku ya Herufi kubwa kupanda Bajaji + boda boda

Tangu nishuhudie vile vibajaji vya njano vya manzese kimoja kimefinywa kimekua chapati

dereva mpk abria wake hamna alieweza omba hata maji,kibajaji cha njano ila kiligeuka kikawa RED

Kama mtu kaenda kuibadlisha rangi,pale ndio nikajua kumbe tuna risk sana haya maisha yetu kwa kujitia tuna haraka.
so pole pole ndio mwendo
 
nadhani kama sikosei jamaa ana gari,ila hata kama hana bado sio mbaya kupanda boda mkuu ni bora uishi maisha yako tu huku unalisha familia
Kwa mjini boda boda ni hatari sana ,si unakumbuka mod wa JF mzava alifariki kwa ajali ya bodaboda.
 
Kwa mjini boda boda ni hatari sana ,si unakumbuka mod wa JF mzava alifariki kwa ajali ya bodaboda.

ni kweli mkuu ni hatari lakini kuna muda mtu anakosa jinsi,alafu naskia jamaa alikua anaenda kuwafata wenzie ili wasafiri
 
Mnaongea tu nyie hamjui Haraka,na kingne ajali hata uwe umekaa nyumban utapata ajali tu mazee,kuna jamaa alikuwa mshona viatu kimara barut kakaa tu pemben ya barabara contena la lori likamuangukia,jamaa miguu yote ikapooza,ajali haina kinga hata angekuwa na gar usikute angepata ajali TUACHENI KUTOA LAWAMA et msanii kubwa kapanda boda boda

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
ni kweli mkuu ni hatari lakini kuna muda mtu anakosa jinsi,alafu naskia jamaa alikua anaenda kuwafata wenzie ili wasafiri

Alipata ajali maeneo ya victoria/Makumbusho alikuwa anaenda kwenye press conference.
 
hili jina linanichanganya sana sorry mkuu Giancarlo dah nikiliona moyo unashtuka

Back
Top Bottom