Msanii wa Nigeria, Kizz Daniel akamatwa na Polisi Jijini Dar

Kizz Daniel kalewa sifa hata nchini kwao alishawahi kufanya hivi, yaani anachukua mtonyo alafu analala mbele.Sasa huku Tanzania amekutana na ndugu zake Mandonga wacha wamnyooshe[emoji1787][emoji1787]
[emoji38][emoji38]nimeona comment ya last week wanamuambia utokee kwenye shoo huko usije ukachimba tuu!he si kaharibu bwana
Kumbe ndo tabia yake[emoji16][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Sasa naamini wanawake wameelewa maumivu pale wanaume tunapotuma nauli halafu demu hatokei ghetto
 
[emoji38][emoji38]nimeona comment ya last week wanamuambia utokee kwenye shoo huko usije ukachimba tuu!he si kaharibu bwana
Kumbe ndo tabia yake[emoji16][emoji38][emoji38][emoji38]
Ndio tabia yake,yuko na pride sana..Sasa alizania hapa Tanzania ni kama huko kwao..Jana kwenye iyo shoo yake watu wamefanya vurugu na uharibifu mkubwa je atalipa hizo gharama sababu anadai eti nguo zimechelewa kufika na akakataa kupewa nguo mpya sasa si ufala huo,au hizo nguo zilikua na JUJU.Maana hawa ma Yahoo Boys kwa uchawi mhhh
 
Hao wanaabudu sana uchawi
Nishapiga dili na watu wao uchawi mbele sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…