Msanii wa Nigeria, Kizz Daniel akamatwa na Polisi Jijini Dar

Msanii wa Nigeria, Kizz Daniel akamatwa na Polisi Jijini Dar

Wasanii dawa Yao ndio hio. Huwa mda mwingine wanazingua sana. Afu ukisha Fanya booking, iwapo atakuja ni mida ya saa saba au nane usiku, na anapiga show kwa dakika 40 tu. Huku ulishafanya malipo yote. Yaani .
 
Amepiga chata ikulu ya Tanzania
Ngoja apambane na hali yake. Kwanza wanaija wanatudharau sana wabongo...
Niliwah pigwa makofi na dem wa kinaija kisa nimemwambia usinishonee weaving kama mnavyopenda kujishonea ninyi wanaija 🤣🤣🤣🤣🤣
Leo bora kiss Daniel amekamatwa nipozee machungu yangu
 
Ukamuacha miye vifuu, mawe, kokoto michanga yoote zingekuwa silaha
 
Hivi hapo cha kumfanya nini? Arudishe hela alizolipwa ? Je gharama walizotumia waandaaji kukodi ukimbi na faida ambayo wangepata inakwaje? Maana hapo inatikiwa pia waliohudhuria warudishiwe chao
 
Alipe fidia aache kuleta upuuzi..., na wapuuzi kama hawa waachwe kualikwa kwenye matamasha wanaweza kusababisha maafa na vurugu sababu ya kuleta ushamba ila kabla sijahukumu sana ngoja tupate the other side of the story huenda waandaji walizingua unaweza kukuta mapatano hayakuafikiwa
 
Wasanii dawa Yao ndio hio. Huwa mda mwingine wanazingua sana. Afu ukisha Fanya booking, iwapo atakuja ni mida ya saa saba au nane usiku, na anapiga show kwa dakika 40 tu. Huku ulishafanya malipo yote. Yaani .
mapromoter waangalie namna ya kuwalipa baada ya show
Maana wanatanguliziwa pesa halaf mambo yanakuwa kama hv
 
Ndio tabia yake,yuko na pride sana..Sasa alizania hapa Tanzania ni kama huko kwao..Jana kwenye iyo shoo yake watu wamefanya vurugu na uharibifu mkubwa je atalipa hizo gharama sababu anadai eti nguo zimechelewa kufika na akakataa kupewa nguo mpya sasa si ufala huo,au hizo nguo zilikua na JUJU.Maana hawa ma Yahoo Boys kwa uchawi mhhh
Alisahau juju lake ndo maana au ndugu mganga alimuambia asipafomu
 
Amepiga chata ikulu ya Tanzania
Ngoja apambane na hali yake. Kwanza wanaija wanatudharau sana wabongo...
Niliwah pigwa makofi na dem wa kinaija kisa nimemwambia usinishonee weaving kama mnavyopenda kujishonea ninyi wanaija [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leo bora kiss Daniel amekamatwa nipozee machungu yangu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38]unapooza machunguu
 
[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nguo gani hasa za maana wanavaa huko Nigeria ambazo bongo hazipo..?? Falaa tu huyu jamaaa alijikutaa star
Kwani siyo kweli kwamba jamaa ni star, na kama siyo star je shobo zenu zilikuwa ni za nini kwenda kumtafuta na kumpa ela hiĺi aje kuwatumbuiza nyie mastar mbona?
 
Mahabusu ya Bongo haina VIP. Ila wasanii wa Africa wanazingua.
 
Back
Top Bottom