Msanii wa Nigeria, Kizz Daniel akamatwa na Polisi Jijini Dar

Msanii wa Nigeria, Kizz Daniel akamatwa na Polisi Jijini Dar

MMEZIDI KUWATUKUZA NA KUWASUJUDU HAO WASANII

ova
 
Msanii katoa ngoma kali imehit kuna watu nilikuwa naongea nao week chache tu nyuma hapo wanatarajia ipigwe hata kwenye kombe la dunia 2022 leo hii anafanya mambo ya aibu namna hii
 
Unamsujudia msanii analipwa pesa ndefu...mwisho wa siku mashabkki
Wana dhihakiwa
Kwangu hiyo ni big Nooo

Ovq
 
Konde kama konde
IMG-20220809-WA0031.jpg
 
Watu walimwazimia sketi za chinga boy akazikataa....😄
 
Halafu huyu kizz nadhani ana matatizo

Label yake ya mwanzo walizinguana wakampokonya kila kitu mpaka jina
That's why anajiita kizz Daniel from kiss Daniel
 
Halafu huyu kizz nadhani ana matatizo

Label yake ya mwanzo walizinguana wakampokonya kila kitu mpaka jina
That's why anajiita kizz Daniel from kiss Daniel
Yap halaf ndio ulikua mda wa yeye kuja juu tena na kujenga jina anazingua kama hv anyways lakn kila mtu na maisha yake 🙂
 
Narudia Tena ndio mkome kuwashobokea Hawa wanageria kadoga kanatoa kawimbo moja mnaanza kumpa show za kutosha na kumshobokeaa mtakoma

Safi San kizzdaniel umefanya vzr kuingia mitini Hadi tupate akili
 
Naona show inarudiwa Ijumaa hii. Ila hizi dharau kama ingewezekana wange mkomalia arudishe hela ya watu na gharama za uharibifu wa hiyo show.
 
Amepiga chata ikulu ya Tanzania
Ngoja apambane na hali yake. Kwanza wanaija wanatudharau sana wabongo...
Niliwah pigwa makofi na dem wa kinaija kisa nimemwambia usinishonee weaving kama mnavyopenda kujishonea ninyi wanaija [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leo bora kiss Daniel amekamatwa nipozee machungu yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yap halaf ndio ulikua mda wa yeye kuja juu tena na kujenga jina anazingua kama hv anyways lakn kila mtu na maisha yake 🙂
Nadhani labda alijua ngoma yake inaoendwa sana ndio maana akaleta ego.huu ndio ulikuwa muda wake kurudisha kilichopotea.

Hivi label yake ya mwanzo walizinguana nini hasa?
Halafu huyu si bwana mdogo tu?
 
Back
Top Bottom