Msanii zuchu kutambulisha EP yake leo

Ni KUJIONESHA siyo ONYESHA onesha inaleta ONA,ONENI,ONANA lakini ONYESHA ni ONYO..nb acha ukuda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si angeshinda sasa,kushiriki ndo nn,hizo jingle za wasafi zina impact gani?..best vocalist kwa vigezo vipi?..cha msingi ulichoongea ni hiyo kuwa back vocal tu maana atakuwa ana uzoefu wa live nabuimbaji hizo nyingine n mbwembwe tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Speaking honestly mtu kama wewe huwezi kuelewa chochote hapa simply kwa kuwa umejiandaa kutokuelewa.

Ungeelewa Tecno Own Stage ni mashindano makubwa kiasi gani na inashirikisha wasanii toka mataifa yapi ungeelewa pia huyo Binti kushika nafasi ya pili kuna maanisha nini.
 
Hakuna msanii hapo ,Diamond akubali kwa lavalava , queen Darleen na zuchu amekosea hizo sajili...

Hata kwenye mpira mwalimu Bora Sir Alex furguson aliwahi kukosea kusajili wachezaji Kama Bebe na Obertan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa ni mpuuzi Sana , Kitu kizuri hakifosiwi Huyo zuchu ni msanii mbovu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The best was finished, now is tym for rubbish to trend...especially from WCB ...Mbosso bado yupo vizuri the rest mmmmh

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Kati ya rayvanny na harmonize ni Nani mwenye tuzo nyingi?
Kwa hapa tz kwa wasanii wenye international awards nyingi kuna diamond,alikiba,then kina rayvanny
Huyo harmonize hata top 10 hayumo

Hilo linaamuliwa na watu wanaojua music huko mbele sio wanafiki kama nyie wa bongo.

Pale wcb wasafi iko imara sana chini ya mondi,mbosso na rayvanny.

son of almighty God.
 
Hata nyie kingmusic mnahisia zaidi ya sokwe mtu,
Maana harmonize alipokuwa anasajiliwa na Diamond kuingia wasafi mlisema jamaa kasajiri garasa kwamba hana kitu

Amekuzwa na kuwa msanii mzuri chini ya wcb,mkaanza kusema harmonize ni mkubwa kuliko mondi? Umeelewa lakini?

Baadae amejitoa wasafi mmemkimbia king kiba kwenda kwa harmonize mliyesema garasa alipokuwa anasajiliwa wcb wasafi
Mkuu huoni kuwa huo ni unafiki wa kiwango cha standard gauge ya umeme ya magufuli?

son of almighty God.
 
Hivi Wewe unawashwa nini wakati mwenyewe aliyelipishwa alikubali kuwa hela iliyotajwa ni sahihi kabisa?

Hivi unajua kama konde akiendelea kutumia product's alizotengeneza chini ya wasafi ndani ya miaka mi5 mbele atakuwa kaingiza shilingi ngapi kupitia shows,na Malipo ya u-tube na streming&downloading network's nyingine?

Ataingiza hela zaidi ya hizo alizolipishwa na wasafi na kubaki na chenji ya kutosha kama tu atakuwa mpambanaji.

Kwaio ulitaka wasafi wamwachie afaidi yote hayo kwa investment yao yote ile? Au wao ni kituo cha misaada?
Acha kufikiria Mita Mia kama mbuzi,

jitahidi kupambanua mambo kama hujui ishu za business tupishe hapa.

son of almighty God.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…