Msanii zuchu kutambulisha EP yake leo

Msanii zuchu kutambulisha EP yake leo

King's boss wao hana shida ya pesa wala mali,yeye hua mpk anaishi na wasanii wake wote pale kwake mpk mkewe akamkimbia.

Yote haya kuonyesha yuko humble na kumbuka HAPENDI KUJIONYESHA KABISA

Na pengine hujui isingekua Corona alikua amepewa mualiko yeye peke yake kwenda kuimba siku Liverpool inakabidhiwa Kombe kule Anfield,Yooooooo.
Ni KUJIONESHA siyo ONYESHA onesha inaleta ONA,ONENI,ONANA lakini ONYESHA ni ONYO..nb acha ukuda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zuchu sio overrated Kama unavyosema kumbuka zuchu kashiriki mashindano makubwa ya kuimba Kama Tecno own stage na kafika hatua nzuri ingawa hakufika fainal majaji walikuwa sauti solo,Yemi alade na mwingine jina limenitoka, Zuchu pia kutengeneza jingle nyingi za wasafi media ukiachana na hivyo huyo dada ni best vocalist amekuwa akiwa back vocal za band nyingi before ya kuingia Wasafi lakini pia Zuchu ni song writer ( ana kipaji Cha kuandika nyimbo mwenyewe).
Si angeshinda sasa,kushiriki ndo nn,hizo jingle za wasafi zina impact gani?..best vocalist kwa vigezo vipi?..cha msingi ulichoongea ni hiyo kuwa back vocal tu maana atakuwa ana uzoefu wa live nabuimbaji hizo nyingine n mbwembwe tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si angeshinda sasa,kushiriki ndo nn,hizo jingle za wasafi zina impact gani?..best vocalist kwa vigezo vipi?..cha msingi ulichoongea ni hiyo kuwa back vocal tu maana atakuwa ana uzoefu wa live nabuimbaji hizo nyingine n mbwembwe tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Speaking honestly mtu kama wewe huwezi kuelewa chochote hapa simply kwa kuwa umejiandaa kutokuelewa.

Ungeelewa Tecno Own Stage ni mashindano makubwa kiasi gani na inashirikisha wasanii toka mataifa yapi ungeelewa pia huyo Binti kushika nafasi ya pili kuna maanisha nini.
 
Hakuna msanii hapo ,Diamond akubali kwa lavalava , queen Darleen na zuchu amekosea hizo sajili...

Hata kwenye mpira mwalimu Bora Sir Alex furguson aliwahi kukosea kusajili wachezaji Kama Bebe na Obertan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kasikilize vizuri Tena Mara kwa Mara utaupenda na utavuta comment yako ulioandika huyu dada ni fundi na best vocalist na ameshiriki kwenye shindano la vipaji la Tecno own stage lililofanyika Nigeria kwa Tanzania walitoka wawili tu Nandy na Zuchu mwenyewe na pia zuchu alikuwa ndio anategeneza jingle nyingi pale Wasafi.Tukija kwenye wimbo wake huu kachanganya vitu vitatu bongo fleva, mziki wa bwani na ladha ya kihindi kwa mbali huo ndio ubunifu wenyewe na Jambo zuri kwa huyu dada si tu anaimba lakini ni writer mzuri ana andika nyimbo mwenyewe, uandishi wa huo wimbo ni mzuri Sana lakini pia ni wimbo wa kudumu huwezi kuuchoka kusikiliza kiufupi huyu dada ni fundi.
We jamaa ni mpuuzi Sana , Kitu kizuri hakifosiwi Huyo zuchu ni msanii mbovu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The best was finished, now is tym for rubbish to trend...especially from WCB ...Mbosso bado yupo vizuri the rest mmmmh

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Kati ya rayvanny na harmonize ni Nani mwenye tuzo nyingi?
Kwa hapa tz kwa wasanii wenye international awards nyingi kuna diamond,alikiba,then kina rayvanny
Huyo harmonize hata top 10 hayumo

Hilo linaamuliwa na watu wanaojua music huko mbele sio wanafiki kama nyie wa bongo.

Pale wcb wasafi iko imara sana chini ya mondi,mbosso na rayvanny.

son of almighty God.
 
Nahisi mashabiki wa WCB ndo wana hisia Kali kuliko waigizaji wa KIHINDI hawa hawataki hata kumsikia KONDE BOY wakati walimtukuza kwa Kila aina ya sifa kama mlimsapot kwa sababu ya uwezo wake kwann sasa mnamponda HISIA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata nyie kingmusic mnahisia zaidi ya sokwe mtu,
Maana harmonize alipokuwa anasajiliwa na Diamond kuingia wasafi mlisema jamaa kasajiri garasa kwamba hana kitu

Amekuzwa na kuwa msanii mzuri chini ya wcb,mkaanza kusema harmonize ni mkubwa kuliko mondi? Umeelewa lakini?

Baadae amejitoa wasafi mmemkimbia king kiba kwenda kwa harmonize mliyesema garasa alipokuwa anasajiliwa wcb wasafi
Mkuu huoni kuwa huo ni unafiki wa kiwango cha standard gauge ya umeme ya magufuli?

son of almighty God.
 
Hivi hadi umlipishe mtu mil 600 manake wakati upo nae hakuwai kukuingizia faida au ndo faida alizoingiza tuna + na hiyo mil 600???...mtoto wa watu alikuwa na njaa ya kutoka tu ndo maana aliingia mkataba wa ki KENGE utapeli,dhuluma tupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Wewe unawashwa nini wakati mwenyewe aliyelipishwa alikubali kuwa hela iliyotajwa ni sahihi kabisa?

Hivi unajua kama konde akiendelea kutumia product's alizotengeneza chini ya wasafi ndani ya miaka mi5 mbele atakuwa kaingiza shilingi ngapi kupitia shows,na Malipo ya u-tube na streming&downloading network's nyingine?

Ataingiza hela zaidi ya hizo alizolipishwa na wasafi na kubaki na chenji ya kutosha kama tu atakuwa mpambanaji.

Kwaio ulitaka wasafi wamwachie afaidi yote hayo kwa investment yao yote ile? Au wao ni kituo cha misaada?
Acha kufikiria Mita Mia kama mbuzi,

jitahidi kupambanua mambo kama hujui ishu za business tupishe hapa.

son of almighty God.
 
Back
Top Bottom