playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,648
- 1,566
Fact.Investment wakati kwenye mapato unachukua 65% yeye ndo inatakiwa apewe kiinua mgongo maana kwa mda wote huo kaiingizia kampuni faida
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fact.Investment wakati kwenye mapato unachukua 65% yeye ndo inatakiwa apewe kiinua mgongo maana kwa mda wote huo kaiingizia kampuni faida
EP ndio kitu gani?
Ni KUJIONESHA siyo ONYESHA onesha inaleta ONA,ONENI,ONANA lakini ONYESHA ni ONYO..nb acha ukuda.King's boss wao hana shida ya pesa wala mali,yeye hua mpk anaishi na wasanii wake wote pale kwake mpk mkewe akamkimbia.
Yote haya kuonyesha yuko humble na kumbuka HAPENDI KUJIONYESHA KABISA
Na pengine hujui isingekua Corona alikua amepewa mualiko yeye peke yake kwenda kuimba siku Liverpool inakabidhiwa Kombe kule Anfield,Yooooooo.
Si angeshinda sasa,kushiriki ndo nn,hizo jingle za wasafi zina impact gani?..best vocalist kwa vigezo vipi?..cha msingi ulichoongea ni hiyo kuwa back vocal tu maana atakuwa ana uzoefu wa live nabuimbaji hizo nyingine n mbwembwe tuu.Zuchu sio overrated Kama unavyosema kumbuka zuchu kashiriki mashindano makubwa ya kuimba Kama Tecno own stage na kafika hatua nzuri ingawa hakufika fainal majaji walikuwa sauti solo,Yemi alade na mwingine jina limenitoka, Zuchu pia kutengeneza jingle nyingi za wasafi media ukiachana na hivyo huyo dada ni best vocalist amekuwa akiwa back vocal za band nyingi before ya kuingia Wasafi lakini pia Zuchu ni song writer ( ana kipaji Cha kuandika nyimbo mwenyewe).
I think kutakuwa na tofauti zaidi ya hii uliyoandika maana hata Meek Mill huwa anatoa EP na sio muimbaji.Tofauti yake ni jina kwa wanna hip hop inaitwa mixtape kwa waimbaji inaitwa EP
Good morning babeGood morning !!!
Speaking honestly mtu kama wewe huwezi kuelewa chochote hapa simply kwa kuwa umejiandaa kutokuelewa.Si angeshinda sasa,kushiriki ndo nn,hizo jingle za wasafi zina impact gani?..best vocalist kwa vigezo vipi?..cha msingi ulichoongea ni hiyo kuwa back vocal tu maana atakuwa ana uzoefu wa live nabuimbaji hizo nyingine n mbwembwe tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Moyoni
Good morning babe
Niko mzima wa afyaHope uko mzima wa afya ..... Mie pia
Sawa Mwl. Sarah,kesho utupe somo kuhusu vivumishi vya sifa.Ni KUJIONESHA siyo ONYESHA onesha inaleta ONA,ONENI,ONANA lakini ONYESHA ni ONYO..nb acha ukuda.
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa ni mpuuzi Sana , Kitu kizuri hakifosiwi Huyo zuchu ni msanii mbovuKasikilize vizuri Tena Mara kwa Mara utaupenda na utavuta comment yako ulioandika huyu dada ni fundi na best vocalist na ameshiriki kwenye shindano la vipaji la Tecno own stage lililofanyika Nigeria kwa Tanzania walitoka wawili tu Nandy na Zuchu mwenyewe na pia zuchu alikuwa ndio anategeneza jingle nyingi pale Wasafi.Tukija kwenye wimbo wake huu kachanganya vitu vitatu bongo fleva, mziki wa bwani na ladha ya kihindi kwa mbali huo ndio ubunifu wenyewe na Jambo zuri kwa huyu dada si tu anaimba lakini ni writer mzuri ana andika nyimbo mwenyewe, uandishi wa huo wimbo ni mzuri Sana lakini pia ni wimbo wa kudumu huwezi kuuchoka kusikiliza kiufupi huyu dada ni fundi.
Hivi Kati ya rayvanny na harmonize ni Nani mwenye tuzo nyingi?The best was finished, now is tym for rubbish to trend...especially from WCB ...Mbosso bado yupo vizuri the rest mmmmh
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata nyie kingmusic mnahisia zaidi ya sokwe mtu,Nahisi mashabiki wa WCB ndo wana hisia Kali kuliko waigizaji wa KIHINDI hawa hawataki hata kumsikia KONDE BOY wakati walimtukuza kwa Kila aina ya sifa kama mlimsapot kwa sababu ya uwezo wake kwann sasa mnamponda HISIA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Wewe unawashwa nini wakati mwenyewe aliyelipishwa alikubali kuwa hela iliyotajwa ni sahihi kabisa?Hivi hadi umlipishe mtu mil 600 manake wakati upo nae hakuwai kukuingizia faida au ndo faida alizoingiza tuna + na hiyo mil 600???...mtoto wa watu alikuwa na njaa ya kutoka tu ndo maana aliingia mkataba wa ki KENGE utapeli,dhuluma tupu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mvua umnyesheaAisifiaye mvua.
Hapo unachanganya mkataba na hisia,chagua kitu kimoja.Hivi hadi umlipishe mtu mil 600 manake wakati upo nae hakuwai kukuingizia faida au ndo faida alizoingiza tuna + na hiyo mil 600???...mtoto wa watu alikuwa na njaa ya kutoka tu ndo maana aliingia mkataba wa ki KENGE utapeli,dhuluma tupu.
Sent using Jamii Forums mobile app