Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
- Thread starter
-
- #61
Katika taarifa ya Israeli na hamas hakuna taarifa ya maiti zilizotekwa mkuu. Kama ipo iweke hapa.hamas walienda pale na magari na pikipiki, hawakwenda kwa mguu. maiti zilizoshikiliwa sio za mtanzania tu hata za israel zipo kadhaa, na wanafanya hivyo ili kuwatesa kisaikolojia wayahudi.
We kiazi tumia hata madarasa ya Google kuboresha rutuba ya ubongo wako. Huoni hiyo ni photoshopped photo? Ama kweli ujinga ni kansa kamili.
Haya maswali unatakiwa kuuliza serikali ya israeli mkuu siyo mimi. Mimi na wewe tunapokea taarifa kutoka israeli.Tuanzie hapa kwanza, kwenye orodha ya waliotekwa na Hamas, majina ya watanzania wawili yalikuaepo au hayakuaepo? Zingatia walioshikiliwa mateka sio walikua hawajulikani walipo.
Pili, taarifa ya kifo chake ilitolewa lini na nani aliitoa?
Hivi hamas walishikilia mateka hai au maiti?Tuanzie hapa kwanza, kwenye orodha ya waliotekwa na Hamas, majina ya watanzania wawili yalikuaepo au hayakuaepo? Zingatia walioshikiliwa mateka sio walikua hawajulikani walipo.
Pili, taarifa ya kifo chake ilitolewa lini na nani aliitoa?
Labda anataka kwenda Gaza kuuchukua ngoja tusubiri mkuu. Hii sinema bado haijaisha.Hata mimi najiuliza, kwani baba yake Joshua ameenda Israel kufanya nini ilhali mwili wa mtoto wake bado haujaonekana?!
Huu mjadala hauhusiani na picha mkuu.soma topic hapo juu.HIYO PICHA KWANINI INAJADILIWA. MBONA HUYU MTU HAFANANI NA JOSHUA?
Hivi hamas walishikilia mateka hai au maiti?
Mnakwepa sana kujibu maswali yangu hapo juu mkuu?Nimeelewa na nimesoma Kwa umakini Mkuu. Hii yote imekuja baada ya Ile video ya mauaji ya huyu kijana kuchafua hali ya hewa..
Hapa ni kujaribu kutuliza ghadhabu na hasira za watu na ikiwezekana, kutowahusisha Hamas na huyu kijana. Ndio maana nimeenda mbali na kurejea tamko la msemaji wa Hamas.
Dini imewafanya kuwa wajinga mnatetea hili taifa ambalo linaua watoto na kina Mama na mnasema hilo ni taifa la Mungu.Mungu hawezi kuwa katili kiasi hiki.alafu hiyo sio Photoshop.Mimi ni kristo lakini sipo brainwashed kama wewe.We kiazi tumia hata madarasa ya Google kuboresha rutuba ya ubongo wako. Huoni hiyo ni photoshopped photo? Ama kweli ujinga ni kansa kamili.
Na kila anayepita hapa anakwepa kunijibu. Kwanini?Kuna kitu hapo kipo nyuma ya pazia.
Haya maswali unatakiwa kuuliza serikali ya israeli mkuu siyo mimi. Mimi na wewe tunapokea taarifa kutoka israeli.
Ni kweli mkuu. Hakika kuna jambo nyuma ya pazia, tusubiri mda utaongea.Labda anataka kwenda Gaza kuuchukua ngoja tusubiri mkuu. Hii sinema bado haijaisha.
Mnakwepa sana kujibu maswali yangu hapo juu mkuu?
Waislamu Wa Tz Hawajafuhishwa Na Mauaji Ya Joshua Ila Wanaamin Kuwa Hzo Ni Propaganda Za Wayahudi Za Kuwavuta Waafrika Upande Wao Kwa Nn Hamas Wahifadh Huo Mwili Mpaka Sasa Waache Kuhifadhi Miili Ya Wayahud Maadui Zao,Fikiria.Unaingiza Masuala Ya Ushoga Kwenye Mgogoro Wa Palestina Unatetea Hao Elgbt Sishangai Hata Papa AliwateteaUtawala wa nchi si upo pamoja na palestina na wapalestina si pamoja na Hamas sisi wananchi tusemeje sasa.
Japo hiyo video ya Jo inafikirisha lakini waislamu baadhi kufurahia kifo cha Joshua Mollel inafikirisha zaidi
Ni watu wanamna gani hawa waislamu kati lbgtq na waislamu ni kundi gani hatari zaidi kwa binadamu wengine
Maana kama Jo angetekwa na mashoga yawezekana angekuwa hai mpaka wakati huu
Lakini katekwa na watu wa allah akbar wakammiminia risasi hadharani na sasa wanakuja na propaganda kuwa yule mkulima alikuwa mwanajeshi wa Israel.
Exactly there you are. Haya ndio maswali ninayouliza kwa lugha rahisi sanaMaswali ya kujiuliza, huyu kijana alitekwa wapi?
Kama hakutekwa Gaza, inakuwaje Hamas wabebe mwili wake hadi Gaza na kuuweka huko?
Au labda msemaji wa serikali ya Israel itakuwa alisema tu na hawana uhakika mwili ulipo., Kama Gaza yenyewe imelipuliwa yote na majengo yameshuka huo mwili umetunzwa wapi?
Hii siyo level yako. Nenda kule chitchat wanakungoja wenzio. nyoko
Ok nimekuelewa boss. Nilitakiwa kureply kwenye hoja ya mhusika.Huu mjadala hauhusiani na picha mkuu.soma topic hapo juu.
Hv hz nafasi za kwenda kusoma israel huwa mnaletewa kwenye makanisaHaya mambo yanafikirisha, mkiona mpaka mzazi wa marehemu kaamua kwenda kupambania mwenyewe kuhusiana na kifo cha mwanaye huku serikali iliyoapa kulinda raia wake ikikaa kimya kama vile hamna kilichotokea au ni kuku kapoteza maisha basi mjue kuna shida kubwa sana kwenye utawala wa hii nchi
Ipo, uchunguzi wangu kwa asilimia zaidi ya 90 serikali yetu imekubali kutumika kipumbavu kwenye propaganda za hii vita . Ningekua Rais ninge recall diplomatic ties with Israel until further notes..Iko namna
Nimesoma lakini sijakuelewa mkuu.Rudia kusoma swali langu la pili Mkuu.