Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
- Thread starter
-
- #121
Jamaa ni waongo sana .naamini kabisa huyo mtanzania mwenzetu ametumiwa vibaya na jeshi la Israeli kueneza propaganda za kuwachafua Hamas.Mazayuni ni waongo, habari zinazovuja kutokea kwao wenyewe ni kuwa waliua watu wao wenyewe kwa kutumia helikopta na vifaru.
Mazayuni wao huwa hawaheleweshi kuzika maiti zao za kizayuni. Ukiwa mgeni unafukiwa tu bila heshima yoyote, hususan ukiwa mkristo ndiyo hupewi heshima yoypote wanakuona kafiri tu.
Bora hata maiti za Waislam wanawapa Waislam waliopo huko wazike au wawatayarishe kuzikwa Kiislam chini ya uangalizi wao.
Mazayuni usiwaamini hata wakikwambia nje mchana na ni jua kali basi toka nje uhakikishe.
Januari Makamba alipotangaza kuwa na wazazi wa marehemu wanapelekwa israel, wanaenda kufanya nini? Kupigwa stori?Habari ndio haiyo sasa kwamba mwili wa Joshua upo Gaza. Je mpaka leo upo salama au tutasikia stori huko mpele? Stay tune..
Vita ya uso kwa uso imewwashinda na nia yao ya kuwamaliza Wapalestina (genocide) imejulikana sasa wanatafuta huruma za wajinga ndiyo waliwao.Jamaa ni waongo sana .naamini kabisa huyo mtanzania mwenzetu ametumiwa vibaya na jeshi la Israeli kueneza propaganda za kuwachafua Hamas.
Jamaa andhani kuwa labda hamas walimbeaba mgongoni kurudi nae gaza.unafikiri walienda pale kwa mguu? mbona akili yako ndogo sana.
Tamko la msemaji wa hamas limesemaje hilo ulilolirejea???Nimeelewa na nimesoma Kwa umakini Mkuu. Hii yote imekuja baada ya Ile video ya mauaji ya huyu kijana kuchafua hali ya hewa..
Hapa ni kujaribu kutuliza ghadhabu na hasira za watu na ikiwezekana, kutowahusisha Hamas na huyu kijana. Ndio maana nimeenda mbali na kurejea tamko la msemaji wa Hamas.
Hizi ni taarifa mpya kutoka kwako. Na since day one hakukua na taarifa za maiti zilizochukuliwa mateka siyo kutoka kwa IDF wala Hamas. Taarifa zilizotolewa ni idadi ya watu waliokufa..Ndugu umeshajibiwa lakini hutaki kukubali ukweli.
Najaribu kukuweka sawa.
1. Sio watu wote 1400 waliuwawa siku moja. Mauaji yalikuwa ya mwendelezo kufikia hiyo idadi.
2. Sio mwili wa mtanzania pekee ndio inadaiwa kuwa mikononi mwa Hamas, mamia kadhaa ya miili inadaiwa kuwa mikononi mwa Hamas.
3. Watanzania wote wawili hawakuwa miongoni mwa watu waliotangazwa kuuawawa siku ya uvamizi, bali walitangazwa kuwa ni mateka waliokuwa mikononi mwa Hamas, ni baadaye sana ndio imekuja kufahamika kuwa, Hamas waliamua kuwaua hao mateka.
4. Israeli imetoa taarifa tu kuonyesha hao watanzania waliuwawa mikononi mwa Hamas na mpaka sasa mwili wa mtanzania mmoja bado haujaweza kupatikana, hivyo Hamas ndio wanawajibika kusema uko wapi.
Ndio lengo lao ila Waliisha fail muda sana kwenye hiloInawezekana...
Wanataka Hamas wapoteze ushawishi kimataifa..
Yule binti alioneshwa siku ya kwanza ya tukio kati ya watu waliochukuliwa kwenye jeep ya jeshi la israeli na waliondoka nae akiwa hai alifariki akiwa mateka . Umeona video ya joshua?Mbona yule binti wa kijerumani walimuua, wakaondoka na mwili wake?
Serikali yetu haiwezi kuihoji israeli wanaiogopa.Hata huo mwili ungekuwa huku Tanzania kwa mgao huu wa umeme pia ungeshaharibika, huko umeme hawana je mortuary zina hali gani?
Hivi jeshi letu liliruhusu je mzazi kwenda kumfuata mwanae huku wao wapo tu, maana ya viongozi tumeshindwa acha tulie na jeshi.
Mheshimiwa ametoa tamko gani kuhusu vijana hao waliokufa?
Mbona picha ni za watu wawili tofauti.... Nikiwaambia JF inazidi kuwa na members vilaza mnaanza kulalamika.View attachment 2848571View attachment 2848572
Tuambie, hawa hapa wawili huyo wa kwanza ndiye Joshua aliyeuawa kwenye ile clip, na huyo kwenye mavazi ya askari wanafanana? tumewawekea chuo morogoro msome pengine mtakuwa na akili lakini bado tu. hauoni aibu kwamba unataka kuuambia umma kwamba hizo picha hapa ni za mtu mmoja? magaidi kumbe hamnaga akili?
Aaah kama anaweza kupiga na deiwaka ya jeshi basi deiwaka yake itakua aliipiga siku mbaya deiwakaniAnaweza kusomea kilimo na akapiga deiwaka ya jeshi vilevile.
Mbona kuna Charlie mwingine alienda kusoma US ila yuko jeshini,anauza sura sana Insta.
Kuna yule mwingine aliyekua anahimiza green card,
Anajiita kanali mstaafu US Navy huku hajawai hata kuvaa gwanda.
Ukimpa bunduki alenge shabaha anza kukimbia
Siku ya tukio waliuliwa wengi tuu kwanini wauchukue mwili wa Joshua waende nao ? Joshua ana uspecial gani kwa hamas? Kumbuka hamas lengo la kuwachukua wayahudi ni ili wabadilishane na wafungwa wa kipalestina .Jamaa andhani kuwa labda hamas walimbeaba mgongoni kurudi nae gaza.
Basi israhell wao ndio best kwenye ujasusiJifunze kufikiri kama mtu mwenye akili timamu hapa JF badala ya kuandika andika vitu bila kufikiri.
Sasa, uwezo wa Israel kipelelezi unawezaje kuupima na kuukosoa kwa tukio hilo katika mazingira hayo?
Uwe unaelewa sio kukurupukaSasa una conclude na humjui du Taifa lina kazi
Haya mambo yanafikirisha, mkiona mpaka mzazi wa marehemu kaamua kwenda kupambania mwenyewe kuhusiana na kifo cha mwanaye huku serikali iliyoapa kulinda raia wake ikikaa kimya kama vile hamna kilichotokea au ni kuku kapoteza maisha basi mjue kuna shida kubwa sana kwenye utawala wa hii nchi
Kumbuka vita sio harus mpaka ualikwe itakapo kukutia kama una mbio kimbia sana kama unapakujifisha jfche uko uko na usjejtokeza kamwe. Jamaa kuvaa gwanda uez jua n stuation gan ilwakuta mpakq wakaenda front na kuvaa gwanda refer mtanzania wa urus vita ilmkutq yuko jela wakataarfiwa watakao enda vtan wakirud wako huru kurud uraian kwann jamaa astumie fursa kumbe yeye ndio fursa yenyew.. kwaio tumwombeen tu kijana mwenzetu mwendo kaumalza kwa stail yake Na hao hamas Walaaniwe
Dogo alikuw na bokxa ya jeshi either notSasa kama ni kweli jamaa aliungana na jeshi na kuwa ndio sababu ya kuuwawa.
Vipi kwa wale waliokuwa wanapinga kuwa wale wauwaji sio Hamas?
Japo kwa utandawazi wetu tuliofikia saizi wa teknolojia mimi naamini picha ni rahisi sana kuichezea kuliko video.
Hii picha aliyovaa gwanda za jeshi kuna asilimia kubwa ikawa imeeditiwa lakini ile video ni ukweli.
Sasa swali linalobakia ni kwamba kwakua mchizi alijiunga na jeshi kisha baadaye alikamatwa akiwa na Hamas badi ni wazi alikuwa na magwanda
Kwa mujibu wa ile video jamaa alivaa kiraia tena simple tu, sasa sijui kama Hamas ndio walimvua gwanda na kumtafutia nguo zingine kisha wamuue hapo ndio sijajua
Ficha ujinga wako kwenye ukimya haita kugharim chochoteView attachment 2848724
MLAANIWE KWANZA MAKAFIR WOTE NA USHOGA WENU