osward mambo
Senior Member
- Jul 31, 2020
- 148
- 55
Hilo nalo nenoNajiuliza hivi watu wote walioandikoshwa kama wadhamini taarifa zao zote kweli zinaweza kuwa sahihi? Ni nani alikuwa na jukumu la kuandika majina kwenye fomu ya udhamini? Je watu waliandika wenyewe? Kama mtu aliandika jina au namba na akakosea Tume ikaona kuwa hiyo namba sio sahihi, inakuwaje? Au kama amekuja mtu kwenye Kundi akudhamini kumbr ni mamluki wa chama kingine akaandika namba na jina lisiloendana na taarifa zake kwa makusudi je itakuwaje hapo? Najiuliza tu, kwenye mazingira kama haya nini kinatokea.
Aaache siasa tushawazoeaAfisa wa Tume anayehusika na habari na Mawasiliano, punde ametoa ufafanuzi kumtu Kupitia TBC1 kuhusu wagombea waliowaiting room kuwa, kuchelewa kwa baadhi ya wagombea kuingia chumba maalum cha uteuzi/kupokelewa fomu zao kunatokana na zoezi la uhakiki wa fomu zenyewe na uhakiki wa wadhamini. Tume ni lazima ijiridhishe kama waliomdhamini mgombea ni kweli kuwa ni wapiga kura. Na mambo mengine
Kwa wale waliopeleka kabla majina hayo kukaguliwa ktk ngazi ya Jimbo au kupelekea tume kabla, zoezi hili kwao ni la haraka zaidi, ila kama hukuwa umepeleka majina hayo kabla, basi itabidi uwe mpole kidogo kujiridhisha.
Pia ameeleza kuwa, wagombea wote ambao wamefika kituoni hapo kabla ya saa 10 watasikilizwa hadi waishe, isipokuwa kama mtu atafika baada ya saa 10. Kwa hiyo wale walio na wasiwasi kuhusu wagombea wa vyama vyao hasa CHADEMA, bila shaka wote watapata hiyo fursa ya kusikilizwa na Kkwasilosha fomu zao za uteuzi na baadae kuteuliwa kama wamekidhi vigezo vyote kwa kadri ya taratibu walizopewa. Wandugu tuwe na subira.
Tuzidi iombea tume Mungu awajaalie wafanye kazi kwa weledi, kwa kuzingatia maadili, sheria na taratibu, Uwazi na kutenda haki
#maendeleo hayana chama
Shetani atawapa NEC wanachotaka soon😀😀😀Afisa wa Tume anayehusika na habari na Mawasiliano, punde ametoa ufafanuzi kumtu Kupitia TBC1 kuhusu wagombea waliowaiting room kuwa, kuchelewa kwa baadhi ya wagombea kuingia chumba maalum cha uteuzi/kupokelewa fomu zao kunatokana na zoezi la uhakiki wa fomu zenyewe na uhakiki wa wadhamini. Tume ni lazima ijiridhishe kama waliomdhamini mgombea ni kweli kuwa ni wapiga kura. Na mambo mengine
Kwa wale waliopeleka kabla majina hayo kukaguliwa ktk ngazi ya Jimbo au kupelekea tume kabla, zoezi hili kwao ni la haraka zaidi, ila kama hukuwa umepeleka majina hayo kabla, basi itabidi uwe mpole kidogo kujiridhisha.
Pia ameeleza kuwa, wagombea wote ambao wamefika kituoni hapo kabla ya saa 10 watasikilizwa hadi waishe, isipokuwa kama mtu atafika baada ya saa 10. Kwa hiyo wale walio na wasiwasi kuhusu wagombea wa vyama vyao hasa CHADEMA, bila shaka wote watapata hiyo fursa ya kusikilizwa na Kkwasilosha fomu zao za uteuzi na baadae kuteuliwa kama wamekidhi vigezo vyote kwa kadri ya taratibu walizopewa. Wandugu tuwe na subira.
Tuzidi iombea tume Mungu awajaalie wafanye kazi kwa weledi, kwa kuzingatia maadili, sheria na taratibu, Uwazi na kutenda haki
#maendeleo hayana chama
Hilo nalo neno
Hakuna atakayegomewa kupitishwa hapa, wote watateuliwa.Cck naona watagomewa kumpitisha mgombea wao
Tanzania roho za korosho korosho tu.Afisa wa Tume anayehusika na habari na Mawasiliano, punde ametoa ufafanuzi kumtu Kupitia TBC1 kuhusu wagombea waliowaiting room kuwa, kuchelewa kwa baadhi ya wagombea kuingia chumba maalum cha uteuzi/kupokelewa fomu zao kunatokana na zoezi la uhakiki wa fomu zenyewe na uhakiki wa wadhamini. Tume ni lazima ijiridhishe kama waliomdhamini mgombea ni kweli kuwa ni wapiga kura. Na mambo mengine
Kwa wale waliopeleka kabla majina hayo kukaguliwa ktk ngazi ya Jimbo au kupelekea tume kabla, zoezi hili kwao ni la haraka zaidi, ila kama hukuwa umepeleka majina hayo kabla, basi itabidi uwe mpole kidogo kujiridhisha.
Pia ameeleza kuwa, wagombea wote ambao wamefika kituoni hapo kabla ya saa 10 watasikilizwa hadi waishe, isipokuwa kama mtu atafika baada ya saa 10. Kwa hiyo wale walio na wasiwasi kuhusu wagombea wa vyama vyao hasa CHADEMA, bila shaka wote watapata hiyo fursa ya kusikilizwa na Kkwasilosha fomu zao za uteuzi na baadae kuteuliwa kama wamekidhi vigezo vyote kwa kadri ya taratibu walizopewa. Wandugu tuwe na subira.
Tuzidi iombea tume Mungu awajaalie wafanye kazi kwa weledi, kwa kuzingatia maadili, sheria na taratibu, Uwazi na kutenda haki
#maendeleo hayana chama
Hivyo visababu vya kipuuzi vina mwisho wake. Mtabanwa mpaka kielewekeKwa mfano Membe jana alienda NEC kuhakiki fomu zake..... Leo ametumia muda mfupi sana kuteuliwa!
Usiwaamini hawa watu hata siku moja! Ni watu hatari sana. kumbuka ccm na nec ni nyani na ngedere!Atleast, this is great, wacha uchaguzi ukawe na mvuto wake, mwisho wa siku sanduku la kura ndio liamue nani mshindi.
Natengua kauli yangu, haya ni maandalizi kuelekea Lissu kukatwa.Hakuna atakayegomewa kupitishwa hapa, wote watateuliwa.
Uelewa mdogo wa wanasaccos ndiyo shida. Msaliti Lissu anajifanya anajua sana, sasa alikuwa anahangaika na mikutano tuuu amezidiwa hata na CHAUMA. Halafu huyu anataka aongoze Tanzania??!! Never Ever!!Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa elimu Mama Aswile, vyama ambavyo wadhamini wake walihakikiwa na wasimamizi wa majimbo vimehudumiwa kwa haraka, vile vingine kama CHADEMA ambavyo havikufanya hivyo, uhakiki wake unafanywa kwanza ndani ya tume kabla ya kuthibitishwa.
CHANZO: MAHOJIANO TBC1
Umbumbumbu wenu ndiyo unafanya mshindwe mambo mengi!Historia Itawahukumu kwa mnachokifanya.. Kuna siku Mtamjua Mungu ni zaidi ya Nafasi Mlizonazo. Huyu Huyu Mnayemsotesha Kuna siku Mtashangaa....