Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
- Thread starter
-
- #141
Aisay hata mimi pia nawapenda sana Hezbullah na Hamas "I love Hezbullah " and "I love Hamas"Watarudi vipi wakati hata Mayor wao kakimbia. Hebu mcheki hapa alivyotimua mbio...hahaha
I love Hizbollah...Israel ndio wanahitaji vitu kama hivi..akili itawaingia
View: https://youtube.com/shorts/HkZqlfserHA?si=-xqv-2QB5lPIzRFI
Do ukiwa na hela yako hauweiz kuish nchi ya namna hiyo
View: https://youtu.be/hbYqq0YZ9mg?si=CG9E6Yw8_D1lYNGD
Hezbullah wazee wa kazi Chapeni kenge hao. Sikieni vitu vya wanaume vina kata mbunga video ya chini THAAD ni pambo tu kumbe
View: https://youtu.be/AUZJ_89H-AQ?si=6lZOVRb3_5-M1nb6
Utasikia na televivu nayo watasogezwa mpaka LondonWaisrahell hawatakaa warudi kule hii imeisha na Haifa washaanza kuikimbia hizbullah kamatieni hapo hapo
Yaani round hii zayuni mpaka ateme bungo kila sehemu kwenye ardhi za watu hawapakalii kwa amani mbwa haoUtasikia na televivu nayo watasogezwa mpaka London
Hiyo video imerekodiwa zaidi ya mwezi na katika sehemu isiyojulikana. Ana muogopa nani kama sio Muisrael huyo huyo aliyewauwa viongozi wake na kuishambulia Iran ambayo mwezi unapita Sasa ameufyata?Na huu ndio ukweli wakifanya maskhara mpaka teli avivu na Jerusalem watapakimbia
Kwani wapi kasema uongo?Kuongea kila mtu kaumbiwa, ila usishangae yeye kesho tu tukakutana na breaking news kuwa yuko anabugia ulabu na bikra zake 72 pembeni huko kuzimu.
Kati ya israhell na Iran nani alianza kushambulia mwenzake tuanzie hapa kwanza pia kisasi hakina muda maalum au kina muda maalum kulipwa ni suala la muda tuuuuHiyo video imerekodiwa zaidi ya mwezi na katika sehemu isiyojulikana. Ana muogopa nani kama sio Muisrael huyo huyo aliyewauwa viongozi wake na kuishambulia Iran ambayo mwezi unapita Sasa ameufyata?
Mkuu ni mimi au huyo jamaa!?Naona umeanza vioja kama kawaida mukibananishwa
Kakosea nadhani alipiga kahawa za hiliki sana, akafananisha shati lako na la jamaa. Na uhakika alikusudia yule mwenye majina 30+Mkuu ni mimi au huyo jamaa!?
Sio kweli zileteZililetwa ripoti humu hadi za BBC zikionesha satellite images wenyewe wakadiriki kusema satellite images hazitoi significant proof ya kuonesha uharibifu.
Hehehe nilikusudia huyo mzayuniMkuu ni mimi au huyo jamaa!?
Nenda bbc utaona zipoSio kweli zilete
Sizion leta weweNenda bbc utaona zipo
Kama huzioni basi ila zipo bbc mpaka mwenzenu T14 Armata nadhani aliziona ndio maana zikamkimbiza kwenye ule mjadalaSizion leta wewe
Bbc walionyesha picha zilizofutika za Google. Na Iran mpaka kesho haijawah kuonyesha chochote zaid ya kusema askar wake wanne walikufa. Ni Mikasa mingiKama huzioni basi ila zipo bbc mpaka mwenzenu T14 Armata nadhani aliziona ndio maana zikamkimbiza kwenye ule mjadala
BBC walionesha picha ila wakasema hawawezi kuthibitisha nyengine wakasema kwamba uharibifu umetokea mdogo nyengine wakasema satellite hazitoi picha kamili wakati Nevatim ilivyofyekwa satellite ilileta picha kamili tena saafi kabisaBbc walionyesha picha zilizofutika za Google. Na Iran mpaka kesho haijawah kuonyesha chochote zaid ya kusema askar wake wanne walikufa. Ni Mikasa mingi
Bbc hawawez kutoa picha kama Iran mwenyewe hawajatoa wewe. Mbona unabisha vitu vya kijinga. Mbona hapo Gaza picha zipo live. Ni kuwa wahusika wanatoa ushirikiano. Iran hawez kuonyesha na bbc walichoonyesha ni picha zilizofutika za satellite.BBC walionesha picha ila wakasema hawawezi kuthibitisha nyengine wakasema kwamba uharibifu umetokea mdogo nyengine wakasema satellite hazitoi picha kamili wakati Nevatim ilivyofyekwa satellite ilileta picha kamili tena saafi kabisa
Alokwambia bbc katoa picha nani nimekwambia wametoa hizo za satellite sio picha za kawaida ila wamesema madhara kidogo ama hawawezi kuthibitisha mbona hoja hizi hawakuzieka kwenye shambulio walio fanyiwa wazayuni na IranBbc hawawez kutoa picha kama Iran mwenyewe hawajatoa wewe. Mbona unabisha vitu vya kijinga. Mbona hapo Gaza picha zipo live. Ni kuwa wahusika wanatoa ushirikiano. Iran hawez kuonyesha na bbc walichoonyesha ni picha zilizofutika za satellite.
Hivi huo ushoga mnao usemea unajua watu wanao pendelea huo mchezo ni miarabu tena Ile yenye ya Kisaudia au we mpuuzi?LGBTq bana kwahio unaamini israhell wanaweza ishinda hizbullah
wale waliotolewa vitandani na chupi zao mpaka Leo washikiliwa na baadhi kuawa siyo innocent?Uislam unazuia kuwauwa innocent people, wanaogopa kubeba dhambi za hao unless kuwa hakuna budi. Hezbullah akitaka kuchakaza hayo majumba ya Tel Aviv atashindwa unadhani, wamefika mpaa chumbani kwa Sarah hahahaha 😆 😂