Msemaji wa Hezbullah: Waisrael Hamtarudi North, Msahau Kabisa

Alokwambia bbc katoa picha nani nimekwambia wametoa hizo za satellite sio picha za kawaida ila wamesema madhara kidogo ama hawawezi kuthibitisha mbona hoja hizi hawakuzieka kwenye shambulio walio fanyiwa wazayuni na Iran
Ndio ukae kimya sasa usiseme tuliona madhara aliyopata Iran wakat unajua hawakuonyesha.
 
Acha ubishi mkuu bundle unalo Nenda katizame BBC walileta satellite images lakini wakasema Bado hazitoshelezi kuonesha shambulizi na madhara yake.
Iran hawakuonyesha. Ila image za satellite za bbc.
 
Waoneshe kwani wao ndio waliopiga au waliopigwa!?
Mbona hata Israel iliposhambuliwa ni Iran na BBC ndio walionesha!?
Kwani BBC wapate taarifa ya maeneo yaliyoharibika Israel kiuhakika na wasipate ya Iran!?
Unakumbuka mwanzo wa hoja yako lakin
 
Anaongelea akiwa wapi?
 
Uislam unazuia kuwauwa innocent people, wanaogopa kubeba dhambi za hao unless kuwa hakuna budi. Hezbullah akitaka kuchakaza hayo majumba ya Tel Aviv atashindwa unadhani, wamefika mpaa chumbani kwa Sarah hahahaha πŸ˜† πŸ˜‚
Embu niulize, hao ISIS waliokuwa wanachinja kila raia asiye na hatia
walikuwa ni dini gani?
 
Sasa unauhakika gani kwamba yalikuwa maneno matupu ikiwa Iran hawaruhusu
Hawaruhusu nini kwani picha za satellite zinataka ruhusa ya Iran yaani kufyekwa utawala wa kizayuni mpaka sisi huku tuliona ila huko Iran ndio hata picha za mbali mbali hakuna kwanza raia wa Iran wenyewe hawakuona lolote propaganda zimefika mwisho hizi zama za uwazi yaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…