Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 15,670
- 14,647
Tundu Lisu an escape goatKILA MTANZANIA ANATAKIWA KUWA LEVEL YA TUNDU LISSU.
Tanzania ingekuwa kama USA hivi karibuni.
Ila kwakuwa tumekubali kuwakingia kifua wanaoharibu nchi kwa sera zao mbovu na ufisadi acha tuisome.
Lugumi
Radar
Ndege ya rais
Escrow
Richmond
Downs
Iptl
Mishahara hewa
Kesi tunazoshindwa kwenye migogoro ya kibiashara.
Makinikia.
Miamala ya madini.
Ukwepaji kodi.
Pesa za uswisi.
Kashifa za migodi inayofungwa usiku(KIWIRA coal mine)
Meremeta
Epa
Majengo pacha ya BOT.
TUMEINGIZWA MKENGE CCM UKIWAULIZA KWANINI WATASEMA TUNDU LISSU KASABABISHA.
Kwani Tundu Lissu ana nguvu gani hapa Tanzania? Muacheni aishi maisha yake na watu wake wa Singida Mashariki waliotupatia zawadi ya msemaji wetu na mtetezi wa haki zetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakosa au wakoswa?CHADEMA WAKOSWA MWELEKEO
Si wametajwa majina hapo juu?Wasomi gani hao wanao hoji uzalendo wa Tundu Lissu? I wish niwaone tu, Tanzania tuna hasara ya vitu vingi sana.
Hivi Tundu Lissu mwisho wake ni Masters tu!!! Watu wanaposema msomi, msomi nilifikili alishapata na PhD! Ala kumbe! Oh Poor Tundu Lissu - Msomi (Masters)! Akipata PhD si tutakwisha.Tundu Lissu namjua, ila huyo 'wasomi' sijui ndio nani!
University of Dar Es Salaam:
LLB (1991 - 1994) Bachelor's Degree
University of Warwick, UK:
LLM (1995 - 1996) - Masters Degree
Nduguyee lisooWasomi gani hao wanao hoji uzalendo wa Tundu Lissu? I wish niwaone tu, Tanzania tuna hasara ya vitu vingi sana.
Hujawahi kuona nchi inashindwa kulipa deni kwa sababu mbalimbali? Je kukamatwa kitu chake kwa ushirikiano mwananchi wa nchi iliyoshindwa kulipa deni ni sahihi?Dawa ya deni sio uzalendo, ni kulipa. Deni lingelipwa zamani riba isingeongezeka.
Nduguyee lissooWasomi gani hao wanao hoji uzalendo wa Tundu Lissu? I wish niwaone tu, Tanzania tuna hasara ya vitu vingi sana.
Kutolipa madeni hakuhitaji kujua kisa ni kukosa pesa.Hiyo Bansen Burner njaa inauma sijui kama kuna kitu ambacho taifa litakuja kumkumbuka zaidi ya kubwabwaja, kama ni mzalendo angeihoji serikali kisa cha kutolipa deni pamoja na. madeni ya ndani badala ya kuitaka ijenge tabia ya kutolipa.
Kuna maprof watatu .usitarajie Benson akikosoe chama chake pendwa
atakuwa kala ndumu na virobaSijaelewa msukuma kaongea nini , au labda habari haijajitosheleza
"UJINGA MZIGO"