Vipi kodi, unalipa?[emoji23]Mimi nakopesha watu ndiyo maana sidaiwi ila nadai watu wengi
Naona mnaogopa kumwambia aliyeisababishia serikali hasara wekeni wazi kwa nini ishikiliwe na kwa sababu gani na kosa gani sio kusingizia wanasiasa watanzania wa sasa tunajua kuchambua wekeni ukweli aliyetuletea hasara ata kama ni bosi sasa ajue kuwa hizi hasara tutazilipa Tu
Siku Farao na jeshi lake litakapoteketezwa bahari ya ShamHuu ujinga wa kutoa visingizio vya kijinga kwa huu utawala utaisha lini?
Tundu Lisu amekuwa msaada mkubwa kwa Serikali kupata pakujiegemeza ktk sakata hili, huwa wanamsakamia nini kumbe kunawakati anawafaa.Kwahiyo ndege imezuiliwa na wanasiasa au ndege imezuiliwa na wadeni wetu?
Kwani sakata la kivuko kibovu na meli ya samaki wa mchina waliibuka na kutupasha habari?Swali, hawa wanasiasa wasingeibuka na kuhoji suala hili ninyi kama serikali Leo mngejitokeza kutupasha taarifa ya kukamatwa kwa ndege?
Ukishakua unasapotiwa na life machine unakua huna la kufanya. Huyo ndo nachokiona kwake inawezakana hata hela ya pango wanamlipiaUna hangaika sana ndio maana mods wanakuweza na nyuzi zako! wanazikata tu! mbaya zaidi nyuzi zako hazina supporting factors ..
KinLakini anajua kiingereza
Ni sawa kabisa! Nafikiri kwa tafsiri yako hii 'Usomi ni ile Hali ya kutumia Elimu uliyoipata darasani kuweza kutatua Changamoto katika Jamii inayokuzunguka' wewe siyo mmoja wa wale watu walio kuwa wana msuta na kumkashifu RC Makonda. Nafikiri ungeleta hiyo maana wakati ule mbona wengi wange kuelewa na wasinge mpachika majina mheshimiwa Makonda. Lakini bado nina swali - Je! kama ukitumia usomi wako kuangamiza taifa hapo uteendelea kuitwa msomi? - Kwa mfano kuchongea taifa lako liadhibiwe?Tafsiri ya Usomi ni Nini?
Ngoja nikusaidie ili uwasaidie na wenzako!
Usomi ni ile Hali ya kutumia Elimu uliyoipata darasani kuweza kutatua Changamoto katika Jamii inayokuzunguka! Usomi sio Masters au PhD! Kwa uwezo wako wa uelewa, naamini hiyo tafsiri ndogo hapo juu umeielewa!
Sent using Jamii Forums mobile app