Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Lisu hana uwezo wa kuwaambia wadeni wakamate ndege za Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh....unaleta masihara kwenye mambo ya kitaifa
Bilioni 90 zinaweza kununua ambulance 3000 na kusambaza umeme katika mikoa 13 alafu unaleta masihara...

Inategemea na vipaumbele vyako na sungura uliye naye. Hizo ambulance zake haziji kuzalisha kipato bali kuzidi kutumia ulicho nacho. Umeme Rea wapo watashughulikia. ATCL ilisha jifilia. Akaiamsha
 
Naomba kuuliza. Hivi tunapo ambiwa ndege yetu imekamatwa Canada tulikuwa tumesha kabidhiwa?? Maana zile mbili niliona tuliletewa hadi Dar.
Je hii imekuwaje ikamatwe kabla ya kufika Tanzania?? Kama sijakosea bado haina leseni ya Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea na vipaumbele vyako na sungura uliye naye. Hizo ambulance zake haziji kuzalisha kipato bali kuzidi kutumia ulicho nacho. Umeme Rea wapo watashughulikia. ATCL ilisha jifilia. Akaiamsha
Nasikitika kusema kuwa mawazo yako ni ya ovyo na hayana tija kwa taifa letu.
Tunataka viongozi waadilifu wenye weledi na sio wa kututia hasara wakati umaskini umetamalaki kila mahali.
 
Nasikitika kusema kuwa mawazo yako ni ya ovyo na hayana tija kwa taifa letu.
Tunataka viongozi waadilifu wenye weledi na sio wa kututia hasara wakati umaskini umetamalaki kila mahali.

Mkuu; Tena unajiita Mzee!! Sasa hapa ni nani mwenye mawazo ya hovyo kabisa kati yangu na weye?? Unasema "Tunataka viongozi...." Mnawataka kutoka wapi?? Wawaongoze wanani?? Unataka viongozi wa kuwaongoza viongozi waliopo madarakani au wawaongoze kina nani?? Tiyari aliyepo atakaa kwa 10 yrs. Unataka usitake, weka hisia zako hadi 2025 si vinginevyo. Ukikosea tena uchaguzi ungojee tena hadi 2035 kama utakuwepo na huo uzee wako miaka 74. Punguza jazba mkuu usikilize tu wakiku... naogopa ban hapa.
Ulikosea wewe na hao mnaotaka hao viongozi wengineo. Haya ndo matokeo ya kosa lenu. Katika mpira tuna msemo unaosema; One mistake, one goal. Ulikosea hilo ndo goli mkuu. Usilie, ila usilirudie kosa.
 
Kwa mara nyingine umechanganya mambo mengi ya ovyo na yasiyo na msingi.Ni kama unaandika ukiwa na jazba.Kwa kifupi hoja zangu ni hizi hapa
1.Wale walioisababishia serikali hasara ya bilioni 90 wafanywaje? Maana hizi ni zama za tumbua tumbua kwa viongozi wote wazembe na wabadhirifu.
2.Lissu kama mwanasiasa wa upinzani kazi yake ni kukosoa serikali na kuonyesha ubovu wa sera za chama tawala jambo ambalo lina tija kwa mwananchi wa kawaida.Ni kwa nini Lissu aitwe central kwa kukosoa serikali badala ya kujibiwa hoja zake?
3.Uwepo wa kambi imara ya upinzani utasaidia serikali iliyopo madarakani kuwa makini katika maamuzi yake.Nchi yetu iliruhusu vyama vingi ili wanasiasa washindane katika kufanya ushawishi wa sera zitakazomkomboa mlalala hoi.
 
Kitendo cha Tundu Lissu kushabikia matatizo ya Nchi mama yetu, for right or for wrong, ni usaliti.
Tena usaliti ambao unashabihiana na uhaini.

Nchi ikiwa na matatizo, kila mzalendo anapaswa kuwa upande wa Nchi yake.

Kweli ,kulikuwa na matatizo ya mikataba, na hatimaye kwa sababu nzuri tu au mbaya mikataba ikavunjwa.
Sasa kukaa upande wa pili, na kuituhumu , kuibeza, kuikejeli Nchi yako, its uheard of.
Tuliokuweo miaka ya Mwalimu, tunajua kuwa Lissu angesha wekwa Detention(Kizuizini) for a number of years!!
Walikuwepo kina Tuntekmeke Sanga, Elli Anangisye, leo wangehadihia.

Tungetegemea wanasheria machachari kama Lissu kusaidia kuitoa nchi matatizoni kisheria.
Kwa vigezo vyovyote vile, Lisu ameisaliti Nchi mama yake Tanzania, na hafai kula kiapo chochote kuitetea.
 
Kama kuongea ukweli sikuhiz ni usaliti basi sawa.
 
Lisu ameshika pabaya sana nyie maccm...
Yaani maccm mliyolitea taifa hili hasara na matatizo lukuki mnasema nyie ni wazalendo?
Hahaa..ni shetani anatembea bongo uchi mchana aisee, akitokea mtaa wa lumumba kuelelea maggn!
 
Umenena vyema. ila kuna walioajiriwa kusapoti propaganda za uzushi utawaona wanavyokuja kukutukana humu.
 
Haya ni maono ya mtu aliyeserve as president wa USA miaka ya 1900!

Patriotism means to stand by the country. It does not mean to stand by the president or any other public official, save exactly to the degree in which he himself stands by the country. It is patriotic to support him insofar as he efficiently serves the country. It is unpatriotic not to oppose him to the exact extent that by inefficiency or otherwise he fails in his duty to stand by the country. In either event, it is unpatriotic not to tell the truth, whether about the president or anyone else.
Theodore Roosevelt

Kwa taarifa fupi ya mtu huyu,soma hapa:
An American statesman, author, explorer, soldier, naturalist, and reformer who served as the 26th President of the United States from 1901 to 1909. He also served as the 25th Vice President of the United States and as the 33rd Governor of New York. As a leader of the Republican Partyduring this time, he became a driving force for the Progressive Era in the United States in the early 20th century. His face is depicted on Mount Rushmore, alongside those of George Washington, Thomas Jefferson, and Abraham Lincoln.
 
Umeongea kitu kizuri sana hilo jibwa lisaliti,, lipigwe hata risasi hadharan

Uvccm mnachekesha sana mikataba ya hovyo imesainiwa na ccm, Lissu akiwaambia ukweli mnasema ni msaliti, mnapenda sifa ambazo hamstahili
 
Tofautisha kati ya nchi na Serikali ya CCM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…