Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Haya ndio tumekuwa tukiyasema kila siku....Hawa wapinzani wa nchi hii wakae wakijua hawamkomoi MAGUFULI bali wanatukomoa sisi WATANZANIA
Wanaotukomoa ni wanaokopa pesa na kuzipleleka kwenye matumizi yaq kawaida ya ofisi(rejea budget za wizara)kulipa inakua sarakasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni kweli ni wana ccm waliopewa madaraka wakavunja mikataba bila kufuata sheria. majuto ni mjukuu na tabia hii bado inaendelea.
 
unasumuka bure kuiosha serikari na viongozi wake ,acha tu maana haiosheki , kila mara inachafuka madudu ni mengi mno, kugandamiza wapinzani , kuminya uhuru wa habari , kutishia watumishi wa umma, kukejeri wananchi mfano bukoba , na mengine mengi . hapa j f watu ni waelewa sana . wana angalia ahoja kwa makini mno . suala ,tuli vunja mkataba kiholela , tukashtakiwa , tukashindwa kesi , tukaamliwa kulipa hatujalipa .ni kweli watu wasio itakia mema tanzania ni wale walio tuingiza kwenye hiyo kesi
 
Hatutakiwi kumvumilia tena Sizonje. Msimuamini tena!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tundu lisu ni yuda Iskarioti
Bila kusahau anaye msaliti atasulubiwa .kwa hiyo kaa mkao wakusubiria anae salitiwa asulubiwe au vipi ondoa jina la Iskarioti kwa Tundu ,mwite mzalendo
 
Samaki Hawajalipwa na Bila kusahau ATC ilibidi hizi ndege ziandikishwe kama Mali ya serikali ili kukwepa deni la ATC .kumbe nitumeruka jivu tukakanyaga moto
Si bora tujenge barabara na kusambaza mabomba ya maji kwani watakuja kuyang'oa?
 
Huwa najiuliza kwanini mikutano na shughuli za kisiasa zizuiliwe hadi 2020?Siasa ni ushindani wa hoja.Kwanini Tanzania uwe uadui?Kama taratibu za mikataba ya kimataifa inafuatwa kwa pande zote za makubaliano wanasiasa wanawezaje kuingilia?Hii hoja ina mashiko kweli?Naamini yupo aliyemkosea mwenzake tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu aache longolongo zake naye huyo, wanasiasa gani hao wamesababisha ndege kuziuwa na wana nguvu gani hasa hadi kufanya hayo yote...??!!
Mambo yamewakaba sasa wanatafuta pa kupumulia...
Dawa ni walipe madeni ya watu tu, Full Stop...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…