Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Serikali isilamimike lalamike kuhusu ili moja ya njia ya kunyoosha nchi ni kulipa na madeni,...
 
Hii iko juu nawa subiri nione

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huitaji akili kubwa kuanza kuhoji mkanganyiko uloipata Govt..hasa kwa carriba ya mtu aliyetumwa kumjibu wakili msomi....ahaa aisee..
 
ukurupukaji wa magufuli unaligharimu taifa.aelezwe ukweli huyo mnyarwanda
 
Mchakato umeingiliwa Na lissu Na umeingiliwa kisiasa. Lissu Na baadhi ya watu wa mataifa wasioipendea mema Tanzania,
Na mtatiro kaa chonjo habari tunazo
ukurupukaji wa magufuli unaligharimu taifa.mwelezeni ukweli mwisho wake utakuwa mbaya sana.
 
Ni ujinga na ukaragosi wa hali ya juu kutoona uzalendo ndani ya wapinzani ukawashabikia makanikia ya Lumumba ccm Tanzania!.. Kuna wahaini kuliko waliosababisha hilo deni on the first place?
 
Utawala wa awamu hii ya 5, umefitinika...

-Domhome-
 
Lissu anaogopwa sana na Ikulu. kama wanamsingingizia mambo makubwa kiasi hiki.aisee
 
Mlienda shule kukua viimo au nn mbona mna arguments za kitoto sana, so kodi yetu inayotumiwa vibaya inafananishwa na shamba la babako? You a fool at highest level
 
Huyo msemaji wa Serikali ndio ameharibu kabisa. Anakiri ndege imekwama, lakini hataki kufafanua kwa kina huo mkwamo, na zaidi anawatupia Lawama wanasiasa ambao ameshindwa hata kuwataja majina.
Kwa mwelekeo huo, wananchi wataendelea kumsikiliza na kumwamini Lissu katika hili katika kila hatua kwa kuwa alikuja na Facts zenye kueleweka na zilizokamilika.

Kwa taarifa hii ya Serikali inatoa picha kuwa...
1/Alichokisema Tundu Lissu ndio kitu sahihi zaidi mpaka sasa, na tutaendelea kukiamini kwa sababu kimetoa mwanga mkubwa katika ya giza nene.

2/Serikali ilikuwa inaficha jambo hilo kwa makusudi ili sisi walipa kodi tusijue hii ikiachilia kuwa serikali inacheza mchezo mchafu kwenye mikataba na pesa zote.

3/Baada ya Lissu kuanika ukweli hadharani, Serikali imeamua kutafuta kichaka cha kujifichia(Kisingizio) na haiwezi tena kulificha hilo jambo.
 
Ngumu kumesa, Hiyo kesi ilisababishwa na nani? na illifunguliwa Lini? Tulitakiwa kulipa lini? Na hiyo ndege iliagizwa lini?
Majibu ya hayo maswali yakipatikana mchawi wetu atajulikana.
 
Huyo msemaji ndiyo anajifunza kusema?

Kada wa kwenye CCM mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…