Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Na mkiagiza dream liner Barrick watakuwa wameshinda kesi.Tutaikamata na kuipiga mnada kupata malipo ya awali ya madai yetu.Baada ya hapo tutakamata mali zote za Tanzania zilizopo Canada Uingereza na Marekani. Hatutaki mzaha na ushenzi sisi

Dah! Nilikuwa simwelewi Lissu sasa NIMEMUELEWA HASWAA!
 
Kwa nini kilimtekenya lissu aseme? Jibu ni 'kiki'

Serikali imejibu kwa nini wakasubilia lissu aseme? Jibu 'kuweka yale ya nyuma ya panzia bayana'

Hapa tunaona viongozi kiki na viongozi makini

Sio kila jambo ukiwa na familia ni radhima ujadiliane na watoto, mengine huwa ni baba na mama tu

Shida watanzania wengi hasa upande ule ni wachovu wa kufikiri ndo maana akisema fulani basi ndo every things

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kishavuta chake lazima acheke. Wengine watanzania mkabwe kodi kufidia hilo deni, hajalishi wewe unafurahia hapo kodi lazima ulipe ili walipe hilo deni.
Na mlipe tu nyie Wananchi HUKO NJE
Hadi mtakapoamka kutoka usingizin ndio mtajua Wanasiasa wanawatumia kwa ajili yo

Chief Economist
 
Wakati tunangoja hio ndege, kwanza waeleze lini ilitakiwa kuingia Tanzania, na lini ilitakiwa kuanza kazi, na kwa siku kiasi gani Tanzania inakosa kwa kupitia hii ndege kwa muda ambao ilikuwa iaze kazi ?

Wana kuja na hoja za hovyo-hovyo kabisa ihali wana endelea kutia deni Tanzania na hasara kwa kupitia hio ndege.
Awamu hii Tanzania imegeuka kuwa nchi ya migogoro hasa ya kimataifa.

 
Hasara ipi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na mlipe tu nyie Wananchi HUKO NJE
Hadi mtakapoamka kutoka usingizin ndio mtajua Wanasiasa wanawatumia kwa ajili yo

Chief Economist

Huko nje wapi kamanda? ha ha ha ama huko ndani, ama wewe ni diaspora wa kule ndani kwako ni nje?
 
Wale wa escrow tutasemaje?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimepitia kwenye Uzi mmoja watu wako moto eti anyongwe kama china du
Hasira za nini huyu ni mkuu wa nchi sasa
 
Lisu alivyowaonya kuwa mkishindwa Kesi mali za nchi zitakamatwa mlidhani anaropoka, sasa ACASIA wamefanya kuvuta waya kidogo ili akili ziwakae sawa, sasa kifuatacho ni mtashindwa kesi ya Makinikia na mali za watanzania wavuja jasho zitachukuliwa huko huko ziliko! Wapeni hayo Makinikia yao ili nchi iwe salama.
 
Lakini usishangae maana hata issue ya madini upinzani walipiga kelele hadi kufukuzwa bungeni. Lakini JPM alipo ingilia Ccm wamebeba mbeleko kama wao ndio wenye kuibua issue ya madini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…