Haaaahhhaa Just HaaaahhhaaHuko nje wapi kamanda? ha ha ha ama huko ndani, ama wewe ni diaspora wa kule ndani kwako ni nje?
Yaani mkuu hapo hajatoa ufafanuzi wowote kama ni Kweli tunadaiwa au hatudaiwi badala yake amajikita kuwalaumu upinzaniHuyo msemaji ndiyo anajifunza kusema?
Kada wa kwenye CCM mpya
Haaaahhhaa Just Haaaahhhaa
HUKU ndani kutamu
Haaaahhhaa
Wananchi lipeni Kodi Tena nasema lipeni usiku na mchana
Chief Economist
Mkuu acha ujinga inabidi huyo kiongozi Wa kisiasa aliyevunja mkataba kienyeji bw mapadloks ndiye achukuliwe hatua kwa kuisababishia serikali hasara kwa kuvunja mkataba Wa Ujenzi Wa barabara .Wewe ndiyo maana maana mfumuko wa bei utaenda juu na utalipa kodi zaidi hata ukifanya biashara hela itapungua. endelea kufurahia na hao traitor wenzako. Unafikiri hapo unaimaliza serikali, ulichoenda kusomea huko shuleni ndo hicho?
You are right kuna sheria nchi zote duniani isiyoandikwa inasema heri mtu mmoja aangamie kuliko taifa liangamie. Serikali iache ulege lege if killing kill them.kill them mengine mbele kwa mbele.
Mkuu acha ujinga inabidi huyo kiongozi Wa kisiasa aliyevunja mkataba kienyeji bw mapadloks ndiye achukuliwe hatua kwa kuisababishia serikali hasara kwa kuvunja mkataba Wa Ujenzi Wa barabara .
Acheni kutetea upuudhi jamani kama mnalipwa kwa kupost threads za kipumbavu Mungu anawaona.
Hili suala lipo wazi kabisa wakulaumiwa ni aliyelisababisha ambaye ni bw JPM
HaaaahhhaaHa ha ha JUST ha ha ha ha kishavuta chake sasa si na ha ha ha ha tu. Acha wengine tubanwe kodi haijalishi uko ndani ama nje. Just ha ha ha haijalishi unafurahia na ma traitors