Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Kuna watu hawaonekani wakiongelea masuala muhimu kama haya ya Bombardier yetu kuzuiwa Canada..
Wao ni kuandika tu mambo ya ajabu ajabu na mengine ya kufikirika... " Serikali ya Viwanda Kukamilika kabla ya 2020".
cc mitale na midimu
Sasa kama bombadia imekamatwa mkuu na wahusika wanashughulika na hilo suala unataka watu waongee nini.
Pili Kukamatwa kwa bombadia Kuna uhusiano gani na kuwezekqna kwa tanzania ya viwanda.
 
Mchakato umeingiliwa Na lissu Na umeingiliwa kisiasa. Lissu Na baadhi ya watu wa mataifa wasioipendea mema Tanzania,
Na mtatiro kaa chonjo habari tunazo
Hovyooo, majitu kama wewe ndio mnachangia matatizo katika taifa hili. Akili zenu mbovu zinaifanya nchi iwe kama vile iko chini ya laana!
 
Mtu anayetaka kumaliza migogoro kwa kuuana ni gaidi.

Wewe unatetea ugaidi hapa JF.

Migogoro yote inamalizika kwa majadiliano.

Kutaka kuuana kunaonyesha upungufu wa utu upande wako

Sent from my Kimulimuli
 
Wahuni na mafisadi ndani ya Serikali hii dhalimu ndivyo walivyo. Wafanye maovu dhidi ya Watanzania na kutaka yabaki siri yanapoibuliwa na kuanikwa hadharani hutaka kuwalaumu wasiohusika badala ya kukubali makosa yao na kujiuzulu. Dikteta uchwara ni janga kubwa sana la Taifa.

 
Usishangae akaenda kupimwa mkojo ili kujua maana ya hicho kicheko!
 

Lisu aseme asiseme lazima deni likipwe.

Iwe kimya kimya au kwa wazi fesha zetu au kodi zetu zitalipia deni.

Nashindwa kujua hoja uliyoongea hapo ni ipi

Cha msingi tulikosea wapi? Nani amesbabisha hasara yote hii? Anapewa adhabu gani?
 
Kwa hiyo Lissu asingelisema hili ndo hizo dola zisingeenda nje? Au huo mfumko wa bei kutokea?Jamani tujitahidi kushughulika na tulipojikwaa badala ya kushughulika na tulipo angukia
 
Mimi wasiwasi wangu hiyo ni mwanzo tu,kama wameshaona wanaweza kushika ndege hiyo,
hawa makampuni mengine yanaweza kufuata utaratibu huo na dreamliner yetu ikanaswa huko majuu
 
Lisu aseme asiseme lazima deni likipwe.

Iwe kimya kimya au kwa wazi fesha zetu au kodi zetu zitalipia deni.

Nashindwa kujua hoja uliyoongea hapo ni ipi

Cha msingi tulikosea wapi? Nani amesbabisha hasara yote hii? Anapewa adhabu gani?

Hoja yangu nikuwa kuna mtu ame initiate hiyo kutoka ndani.

Mzungu ikiisha miaka 2 huwa ana write off deni linakuwa bad debt na hawa report tena kwenye vitabu vyake na anaacha nalo. Hoja ni kuwa akili na roho iliyotumika hapa ni mwafrika kutoka Tanzania amewashawishi hawa wazungu ili wafanye hivyo. Harafu anacheka Ha ha ha JUST ha ha ha
 
Huko nje wapi kamanda? ha ha ha ama huko ndani, ama wewe ni diaspora wa kule ndani kwako ni nje?


Nilikuwa nimekusudia kurudi nchini wakati wa break fupi ya Christmas sirudi tena, maana nchi inatia kichefuchefu. Kama Lissu asingesema tusingejua kuwa ndege imekamatwa kwa ajili ya deni, huku tunamsifia mkuu kwa kila
 
Hawa watu kuna mambo mengi sana wanatuficha na watu wamejua sasa hawapitishi kwa kina Mange tena maana hawaaminiki sasa wanapitisha kwa Lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…