Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Mtu akikueleza mapungufu yako unamchukulia maamuzi magumu,"kweli?' Hatujafika huko.Ipo siku utatoka na chupi kichwani utaachwa kwa tabia hiyo!
 
Kwaiyo serikali ilijoficha kulipa deni mzee au nn tunalipa wote na wakina sethi waachwe tuendelee kulipa kama ivo mana ndo mmeamua naona

Hakuna kitu kama serikali kulipa deni. Wanaolipa deni ni wananchi, kachoengeaneni na madeni mengine mlipe vizuri, na kodi mkatwe zaidi. Maana utake usitake lazima ukatwe kodi ili walipe deni.
 
Ni msaliti namba moja!

Hii nchi sio ya rais hivyo aweke mikataba wanayoita ya siri wazi kwani naye ni mmoja wa waliongia hiyo mikataba ya wizi, na ni baadhi ya watu walioliingiza taifa hili hasara na hilo linaeleweka.
 
Wakuu How do you feel unapoiona Bendera yenye Rangi Nzuri ikishindwa kwa Kuhujumiwa.unafaidika nini Tanzania Ikishindwa?

View attachment 570234



Huwa sishangai Vitendo kama Hivi Ndo Husababisha Mi6, Israel Mosads, CIA, kupoteza Watu.
Kwani wewe unajisikiaje unapoona nchi inafilisiwa kwa mtindo wa kiboya namna hii?
 
..OK.

..labda nimetumia neno kali kidogo.

..how about kilichotokea ni USUMBUFU?

..Kwa maoni yangu serikali ingetoa ushirikiano tangu 2010 hukumu ilipotolewa, tusingefika hapa ambapo mali zetu zinashikiliwa.

..

Yep...usumbufu ni sawa.
 
Exactly

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wanasiasa wa nchi hii wapo kwa ajili ya kukwamisha shughuli za maendeleo, na jpm kashalijua hili, ni halali kabisa awapige ban tena bila hata kuwahurumia.
 
Ndio akili zenu hizi mkiambiwa mapema mnachofanya ni mauti nyie mnajifanya wajuaji likiwavundia mnataka tuwe pamoja siufala huo....
Sio hii tu bado ya makinikia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CHAGADEMA chama cha wachaga. Ukabila na Ukanda hautaiacha CHADEMA wataendelea kusindikiza kila Uchaguzi had I Yesu atakapo rudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…