Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Wakati mwingine jitahidi kuficha ujinga wako kwa kukaa kimya. Kudhulumu haki za watu, kuvunja taratibu za kisheria, kutotekeleza hukumu za mahakama, kuvunja mikataba na maazimio ya kimataifa tuliyokubali kusaini, ndio maendeleo ya kujikwamua kutoka dunia ya tatu kwenda dunia ya pili.!?HAYO SIO MAENDELEO BALI NI UFISADI TU KAMA ULIVYO UFISADI MWINGINE WOWOTE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tundu Lissu anapoonya kuwa tutakapositisha mikataba tuliyoisaini wenyewe kinyemela tutashitakiwa wakatokea watu wasionataaluma ya masuala ya sheria na mikataba ya kimataaia wakabeza mwanasheria gani anayeogopwa kushitakiwa tukawashangilia,Leo tumeshitakiwa mali zetu zimekamatwa watu walewale waliosema mwanasheria gani anaogopa kushitakiwa na wale washangiliaji wao wanageuga na kusema huyu mtu si mzalendo alipaswa kutumia weledi wake katika masuala ya kisheria kuisaidia nchi yake, sasa mlitaka asaidieje mbali na maonyo aliyotoa kabla?.Lakini nakumbuka mheshimiwa alitamka kuwa haiwezekani nchi yake, alafu umshitaki utakiona sasa tunaanza kuvuna matunda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani unakurupuka eeeeeh eti 2012 ndivyo serikali itakavyoshindwa mahakamani.
Ni muda wa kutafakari tujue la kufanya ili kesi kama hizi zisitokee


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu wangu!!! Msiweke vitu kama hivi jamani.Someni alama za nyakati!!
 
Rubbish!! Ukiwashtaki watu halafu nyaraka zikaletwa mahakamani si ndo mtaumbuka zaidi. Hii issue inakuwa na ukakasi kwa sababu aliyesababisha hayo yote ni Malaika Mkuu na inamchafulia hali ya kisiasa kuelekea 2020. Tumuache Mungu afanye kazi yake. Pen Down
 
Kwa nini Serikali imekuwa
inafanya SIRI pale inapokosea,???
Kulikuwa na shida gani wao kutueleza ukweli kuhusu hiyo ndege??
Je isingekuwa Lissu kusema wangekaa kimya mpaka lini??
Aah! Wacha nikakojoe nilale.

007 james Bond
 
Chief unaamini kabisa wazungu walikuwa wamesahau 20m dollars ambayo mahakama ilihukumu in their favour walipwe? Yaani kukosa Lisu kusema wangeiacha ipotee?

Richmond nayo wanadai change yao, maana nao walishinda kesi wakati kama huohuo. Mjiandae kulipa kodi vizuri, si mmewafundisha wenyewe. Tena hii itakuwa imeshafika kuwa pesa ndefu sana.

The government has resolved to pay Dowans $65 million (about Sh91 billion) as ordered by the International Chamber of Commerce (ICC) after losing a case against the company in November last year.


The minister for Energy and Minerals, Mr William Ngeleja, told reporters in his office yesterday that the government has reached the decision after going through the ICC judgment and finding no grounds for an appeal.

Richmond nayo wanadai change yao, maana nao walishinda kesi wakati kama huohuo. Mjiandae kulipa kodi vizuri, si mmewafundisha wenyewe.
http://allafrica.com/stories/201101070212.html
 
kwa mwendo huu akili kisude nguvu kontena? 2020 ni kama kumpiga teke chura....

kwanza kama tnatoka nje ya mada iviii

VP deni mnalipaa? au mmesusia wanasiasa wachochezi?

Richmond nayo wanadai change yao, maana nao walishinda kesi wakati kama huohuo. Mjiandae kulipa kodi vizuri, si mmewafundisha wenyewe. Na hili deni sasa litakuwa kubwa na zuri sana maana walishinda kesi kitambo.

http://allafrica.com/stories/201101070212.html
The government has resolved to pay Dowans $65 million (about Sh91 billion) as ordered by the International Chamber of Commerce (ICC) after losing a case against the company in November last year.


The minister for Energy and Minerals, Mr William Ngeleja, told reporters in his office yesterday that the government has reached the decision after going through the ICC judgment and finding no grounds for an appeal.


...
 
Muhujumu uchumi mkuu ni yule anayeingiza taifa katika hasara kwa kuvunja mikataba kwa kutumia nguvu bila kutumia akili. Mwisho wa siku nchi inalipa matrilioni.

Tukianza na huyo kwanza kodi nyingi zitaenda kufanya mambo ya msingi badala ya kulipa madeni hovyo.

Kwanza usikute ana 10% kwenye hizo fidia. Inapaswa achunguzwe.

BAK
 
Reactions: BAK
Sheria haisemi hivyo. Acheni umbumbumbu wa sheria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu upumbavu unaoandikwa na baadhi humu unashangaza sana. Huyu mtu kishaligharimu Taifa letu matrilioni ya pesa kwa miaka chungu nzima sasa kwa kukurupuka kwake na ufisadi wake.

Badala ya kumshutumu huyu mkurupukaji na kumtaka awajibike kama mhujumu uchumi wanataka kumbambikia kesi Kamanda Lissu wakati hakuhusika kwa namna yoyote ile!

 
Modds toeni taaarifa za huyu mpyumbavu awasaidie polis au leteni particulars ajute kunifahamu
 
Excellent! Lkn inaonekana kuna ukweli kuwa kuna mambo tunakurupuka na kwahiyo yanatugharimu.

Serikali iwe wazi kwetu kwenye mema na mabaya. Tunungishwa mkono mengi tusiyoyajua vizuri. Je kila anayefichua siri fulani ya makosa ya Serikali yetu katumwa kukwamisha ujenzi wa Tanzania ya Viwanda?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…