Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Ni swala la muda tu
 
Asante sana Mheshimiwa ungekaa kimya wala tusingeyajua haya.Huo ndio uzalendo unaotakiwa .Asante sana Mungu akulinde na Muovu Tbilisi....!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo hatukupaswa kujuwa kinachoendelea mpaka wanasiasa watupe ubuyu sio?.Sina imani na nyie tena.
 
Nyie ndo mapepo,mnao ongoza nchi kwe kumwaga damu ! Mawazo na wapinzani wengine,achilia mbali mgimwa na wafananao na hao.funga tu mdomo,kwakua hata ruvu mmpetosa wengi mno mkiwaita wahamiaji haramu bila aibu.mhamiaji haramu anauwawa ! Si anarudihwa kwao ? Bado bila hata uoga,kua kauli hii ni ya kipepo,mnataka watu waishi kama mashetani ! Hebu jionee tu aibu uliyobaki nayo ya kuvalia nguo tu !hii ni kauli yaku toka kinyawani mwa mtu,kama sio pepo ? Achilia mbali mtu tu,kiongozi ? mapepo ni nyie ccm ,hatakauli tu zinadhihirisha.tena wewe ndiwe pepo wa kitaifa. Nchi mmefilisi wenyewe mkiumbuka hamtaki tushangilie.mnataka tuishi kama mashetani,inageukia kwenu mnalia kama mmelumwa meno na wa Canada kumbe ni ndege tu wamechukua ! Si mliyataka kwa misifa yenu,na ubabe eti hampangiwi !Canada watawapanga nini kuwapangia,na bad😵ooh Mbowe alipe kodi tunafunga bilcanas,dawa ya deni kulipa ! Sasa nyie mbona Canada mliona dawa ya deni nikunyang'a ndege ? Kwanini dawa haikua kulipa ? Kwanini tusifurahi wakati hela zote mnakula nyie na mnafilisi nchi kila kitu ni ccm kwanza ! Sasa ngoja waje wawa Zoe na nyie tupumue.maskini anafaidi nini nchi hii hata msipo nyang'anywa ndege ? Hamumruhusu hata kutibiwa,maji hana hata hayo mchafu nini maji salama.mtoto wake hasomi chuo ! Tena bora na nyie mtekwe mkawe watumwa huko Canada,mpaka deni liishe, mtuachie nchi na amani yetu irudi.wafu wa ccm nyie @ January makamba ccm ilishakufa.nyie ni misukule tu.Asante makamba hapa ulijua kunena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana pambana wao kwa wao tu hao,Lisu walisha mshindwa.huyu anakataa ndege haijakamatwa,huyu anakubali imekamatwa,Hutu anasema tunaweka mambo sawa,yapi na wakati hamtaki Canada waseme wameweka ndege kizuizini? Lisu mmemshindwa huyo,toaneni macho wenyewe,waongo msio aibu nyie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LISSU NI KIBARAKA WA MABEPARI, MSALITI NA ADUI WA TAIFA!

Lissu si mtanzania mwema. Ni mtu hatari kwa usalama wa nchi na ustawi wake.

Tarehe 24.3.2017 katika hotel ya Golden Tulip alikutana Na wakandarasi waliokuwa wakifanya kazi katika kampuni iliyosimamishwa kwa kukosa weledi katika kazi,
Miongoni mwa wahandisi aliokutana nao ni wafuatao

1. Allan Watt
2. Andries Liebenberg
3.Mark Roper
4. Rab Bell,

Wakati lissu akiwa yeye, karani Na katibu wake Na wapambe wawili,
Katika wapambe wake kuna ambaye wamewezesha upatikanaji wa siri hii,

KILICHOZUNGUMZWA

Lissu aliwashawishi kumpatia nyaraka na mrejesho wa kesi waliyofungu hapo awali. Wakasema walishashtaki ila mashtaka yanaonekana kutokwenda vizuri kwakuwa watashindwa jinsi ya kuibana serikali ya Tanzania.

Na vikwazo ambavyo wanakumbana navyo ni kushindwa kujua mali halisi za Tanzania nje ya nchi maana ndo njia pekee ya kuwabana Tanzania,

Lissu akawaahidi kuwasaidia na mchakato ukaanza,

Mara kadhaa hupeleka machapisho kwa karani(jina nimeifadhi kwa usalama wake)
Karani huyo ambaye Alikuwa anachapa kazi kwa kusimamiwa Na bwana STEVEN, ili asivujishe siri yeyote ile.

Machapisho hayo yamejaa siri nyingi na nzito za mipango ya Lissu juu ya serikali,
na nyingine ni dhidi ya baadhi ya wafanyakazi wa serikali.

Uchapaji ukimalizika mtaalamu wa IT huyo uhakikisha baada ya kuprint, ujumbe unafutwa kabisa kwenye computer au kama ni kuhamishia kwa flash anahakikisha hakuna kilichobaki, dada anaeleza.

Katika machapisho ya siri hayo ambayo siri imevuja
Yanaonesha Lissu akiwapa maelekezo ni wapi wataonana na uongozi wa kampuni inayo assemble ndege uko Canada,

Na mbaya zaid anawapa ushauri kisheria wa kuikamata ndege hiyo,

Hakuweza kufanikiwa mpango kwa wakati, akamuhusisha kijana wa Kigamboni Mr Paul , ambaye ana uhusiano wa karibu na Mr Zitto Kabwe, maana Zitto ndiyo alijua mpango mzima wa waratibu wa utengenezaji ndege hizo, kutokana na ukaribu alionao Zitto Kabwe na baadhi ha viongozi serikalini.

Kabwe alikuwa Nairobi tarehe 15.4.2017 kutokana na taarifa hizo, Mr lissu alibidi kusubiria ili Zitto akirudi wafanye mpango kwa pamoja.

Baada ya Zitto kurejea kijana Paul alimweleza mambo hayo mheshimiwa, Zitto hakusita kumtafta bwana Lissu na kumpa maelekezo yote ama kwa kujua au kutokujua kama ana nia njema.

Miongoni mwa mambo ambayo Zitto alitoa ushirikiano ni pamoja na kuwezesha upatikanaji wa mawasiliano ya uongozi wa kampuni inayotengeneza ndege aina ya bombardier Q400, na kuwezesha kumkutanisha Tundu Lissu na uwakilishi wao.

Tarehe 4.5.2017 walipokea ujumbe kutoka Canada ambao uliingia nchini kama watalii wakipitia KIA.
Wageni hao ni

1.Douglas Kell
2.Brian Frost
3Rab Bell

Walikutana na mheshimiwa Lissu , na wageni hao ni pamoja na wanaodai kuidai serikali ya Tanzania, Lissu na karibu wake wakenda mpaka walipo Na kuwapa maelezo yote.

Kuanzia mali tunazomiliki nje ya nchi, lakini possible solution ilikuwa kukamata ndege iliyo Canada.
Wakapewa ramani yote,

Tarehe 15.8.2017 waliweza kuikamata ndege kwa kutumia ma agent wa ukamataji wa wadeni sugu wa kimataifa iitwayo
ODR(OPTIMUM DEBT RECOVERY) ambayo iko Edmonton Alberta Canada,

Baada ya tukio ilo wakaijulisha serikali Na wakamjulisha bwana Tundu lissu kuwa deal done, Lissu hakuchelewa akamtaarifu Zitto Kabwe.

Kabwe hakuchelewa akaenda kumuuliza Mbarawa kupitia ukurasa wa Twitter kuwa mbona ndege inachelewa??
Kumbe anajua mchezo wote

Mungu ni mwema zoezi limekwama lakini
Baada ya kuamini amekamilisha ishu hiyo lissu amegeukia ACCACIA , Hakuna asiyejua Lissu amekuwa akisaka mawasiliano na kuhangaika kuwapigia simu ACCACIA na kuwashinikiza wasisubiri mazungumzo ila waende mahakamani kuishtaki serikali ya Tanzania kwa kuwaingiza hasara.

Ameshafanya vikao zaidi ya sita na mwanasheria na wawakilishi wa ACCACIA, vielelezo vipo na wanapokutana, simu wanazopigiana zipo recorded.

Dhamira na nia njema ya kuhakikisha utajiri wa rasilimali aliotujalia Mwenyezi Mungu unalinufaisha taifa umegeuka dili kwa wachache kwa kuamua kuwasaliti walio wengi kwa kukubali kusaliti nchi yao, taifa lao, watu wao na wananchi wenzake kwa kuwa kibaraka wa waporaji hakika huyu ni adui wa taifa na mtu hatari kwa usalama na ustawi wa Taifa si wakuvumiliwa.

TUJIULIZE LISSU ANATAFUTA NINI.
 
Atumbuliwe tu kujidai kukumbatia kila kitu,vingine vinachoma,sasa ndo atajua kulisha chafu kuna mwisho,anamwezwa sasa mlishaji.safi sana.tena apelekwe aliko Manji.maccm mtatafunana mpaka wa mwisho atajiua mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ngoja tusubiri

ng'ombe wa nyuma huchapwa kwa sababu tu yupo karibu na mchungaji lakini anaechelewesha msafara ni ng'ombe wa mbele
 
Huyu jamaa alijiamini sana kiasi kwamba aliwadharau watanzania na kuwaita vilaza.
Ninashangaa vibaraka wake wanamtukana Lissu kichwa kinachopiga maisha ya kesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…