Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Lumumba FC Uwezo wa kufikiri umeisha sasa wanaendekeza matumbo yao. Taifa kwanza ushabiki maandazi haufai
 
Mbna mnasingizia wasio husika? Mlianza wanasiasa sasa mmegeukia wanasheria!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais hewaaaaaaaaaaaa

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Hauwezi ukamwajibisha hiyo bwana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona vijana wa ufipa na baavichaa wanafurahia nchi kupata hasara....hahahaha
 
Haya ndio tumekuwa tukiyasema kila siku....Hawa wapinzani wa nchi hii wakae wakijua hawamkomoi MAGUFULI bali wanatukomoa sisi WATANZANIA
Akili ndogo inapotawala kubwa uongo upo peupe kwani wanasiasa wapi waluoenda kudai pesa ama ishikiliwe ndege?
Wanachodaiwa ni uongo? Deni limetengenezwa? Na wanasiasa wa hapa halikuwepo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JPM anaweza kuwa na nia ya kweli ya kulisogeza mbele taifa ila game plan anayotumia ni weak, anashambulia zaidi bila kujilinda, hapo lazima ukae tu kama Arsenal. Benchi la ufundi hasa kwenye section ya sheria ni weak.
Kwali jamaa anashambilia Sana anasahau kujilinda apo lazima wamchape tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinachoniuma mie ni kodi ninayokatwa kila mwezi, kumbe kuna watu wanaoshangilia???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…