Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Nimeota ndoto hii mwenye weledi anifasirie..

Tuna kiongozi wa nchi ambaye hataki mchezo, ukikosea anakuadabisha hapo hapo hata kama ulikosea miaka kumi iliyopita utawajibishwa tu.

Sasa kuna mtu aliyekuwa na mamlaka katika wizara ya ujenzi , mwaka 2009 wakati mkataba wa barabara ya bagamoyo ukivunjwa.

Kuvunjika kwa mkataba huu kumepelekea one of president special project kufail kiwakati. Namaana ndege kung'ang'aniwa na kutishiwa kupigwa mnada huko canada.

Nasubiri huyu waziri wa kipindi hicho atakapo wajibishwa na mtukufu raisi hawezi kukosea kwa kiwango hicho na kulipaka tope jina la nchi yetu Tanzania.

Hii ndoto ina majibu yake...

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Hili deni lipo toka 2009 nasikia, hizi ndege mbili za mwanzoni hazikukamatwa. Ila cha ajabu imekamatwa hii ya tatu.

Is this not an inside job of the traitors?
Hata hapo kwako kama unadaiwa lipa deni upesi usijeukaumbuka.

Dawa ya deni kulipa.
 
Kama ulitumbuliwa,wewe kuwa mpole kama Nape Nnauye tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upumbavu ndiyo huu. Yaani umetafuta uhalali wa kumuunganisha Lissu kwenye ujinga mliofanya wenyewe. Mkae mjilaumu kwa ukarumekenge wenu. Acheni kuanzisha nyuzi za kipumbavupumbavu humu. You CCMs are freaks!
haaaa wewe mwalimu wa BAED uliyekosa ajira una stress kweli
 
Hii ndo tabu ya kuwa na wanasiasa wanaopambana na serikali badala ya kupambana na umasikini na kuwaletea wananchi wa Singida maendeleo wao wanapambana na serikali tu sijui ndio katiba ya Chadema inavyosema? sasa ni wakat wa serikali kuacha kulipa vitu cash malipo yafanyike mzigo ukifika kwa maana naona maadui wa nchi wameongezeka kutoka
Ujinga
Umasikini
Maradhi
Sasa ameongezeka Lissu nitashangaa sana kama huyu jamaa atarudi bungeni 2020
 
Hili deni lipo toka 2009 nasikia, hizi ndege mbili za mwanzoni hazikukamatwa. Ila cha ajabu imekamatwa hii ya tatu.

Is this not an inside job of the traitors?

Ikiwa Deni lipo toka 2009 kwa nini halijalipwa hadi Leo?
Jiulize hiyo riba ya miaka 7 (hadi wakati huu) ni kiasi gani?
Utagundua ubadhirifu mwingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Too late hakuna mnaloweza kufanya mfalme kisha aibika

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio mfalme mkuu, ni taifa, haswaa maskini ambao iyo ndege ingewasaidia kwa namna moja ama ingine.
Tatizo mmeshakuwa na mindset kama ya Lisu ya kumkomoa raisi, kumbe mnakomoa Ndugu, marafiki na Jamaa zenu maskini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…