Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Ila kama katika hili wapinzani wamehusika kuichongea serikali ili ndege yake ikamatwe na wadeni wamekosea sana. Nchi hii ni yetu sote, serikali ikidaiwa kodi zetu ndo zinadaiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Deni litalipwa, hasara roho, zitakazopotea kutokana na sabotages za Lisu na wenzake.

Tambua huyu Jamaa aliomba wafadhili walisusie taifa ili maskini wapate shida zaidi, ila wadhamini wakampuuza. Sasa amefanikisha alternative ingine ya kuumiza taifa.
But soon or later he will pay for that. Traitors do not prevail for too long.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati wa ndege za kwanza? Sikumbuki vyema ila itakuwa bado yalikuwa hayajashikwa.

Yalivyokamatwa Yale ndio sokosoko lilianza, vichwa vikakaa, Lisu amongst them bila shaka, wakacalculate namna ya kuiumiza nchi ili alaumiwe presdaa.
Mlipeni chake mzungu asepe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kama katika hili wapinzani wamehusika kuichongea serikali ili ndege yake ikamatwe na wadeni wamekosea sana. Nchi hii ni yetu sote, serikali ikidaiwa kodi zetu ndo zinadaiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yako na nani? Wenye nchi wanajulikana kaka, Mimi na wewe hatumo ni wapangaji. Wewe mpimwa mkojo uwe mwenye nchi unajifariji!!

ACHA nikae KIMYA...!
 
Deni litalipwa, hasara roho, zitakazopotea kutokana na sabotages za Lisu na wenzake.

Tambua huyu Jamaa aliomba wafadhili walisusie taifa ili maskini wapate shida zaidi, ila wadhamini wakampuuza. Sasa amefanikisha alternative ingine ya kuumiza taifa.
Lissu mmoja anawapelekesha hivi? Daadeki ,

Unahitaji kuwa Lissu kumpinga Lissu
 
Kwani makanikia/magwangala ya wazungu wakati huo yalikuwa yamezuliwa???

Mchina wa jF.
Na washawasha!

Sema makinikia yetu sote. Hayo makinikia ndiyo yanahakikisha ajira za watz wenzetu zaidi ya 4,000, bila kuhesabu walioajiriwa katika multiplier effect. Makinikia hayo ndiyo hutoa mrahaba wa 4% ya mauzo ghafi. Makinikia haya ndiyo yanayoa corporate tax ya 30% kwenye faida ya mgodi. Makinika haya ndiyo yanatengeneza kodi ya mapato ya mpaka 33% ya mishahara ya wafanyakazi. Tusisahau na fursa lukuki zinazoyokana na haya makinikia kuleta mzunguko wa hela katika jamii jitani na tanzania kwa ujumla.
 
Wakati wa ndege za kwanza? Sikumbuki vyema ila itakuwa bado yalikuwa hayajashikwa.

Yalivyokamatwa Yale ndio sokosoko lilianza, vichwa vikakaa, Lisu amongst them bila shaka, wakacalculate namna ya kuiumiza nchi ili alaumiwe presdaa.
Kwanini asilaumiwe wakati yeye ni chanzo cha kuvunjwa kwa mkataba au haufahamu msingi wa deni na wahusika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Deni litalipwa, hasara roho, zitakazopotea kutokana na sabotages za Lisu na wenzake.

Tambua huyu Jamaa aliomba wafadhili walisusie taifa ili maskini wapate shida zaidi, ila wadhamini wakampuuza. Sasa amefanikisha alternative ingine ya kuumiza taifa.
Kwanza nani alimtuma anunue ndege?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Deni litalipwa, hasara roho, zitakazopotea kutokana na sabotages za Lisu na wenzake.

Tambua huyu Jamaa aliomba wafadhili walisusie taifa ili maskini wapate shida zaidi, ila wadhamini wakampuuza. Sasa amefanikisha alternative ingine ya kuumiza taifa.
Kwa hiyo Lissu asibgesema msingelipa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuwa mwanasisi_emu yahitaji ujitoe akili kidogo

Msema kweli ni muda
 
Usinichekeshe mkuu, mbona husemi makenikia hayo ndio yakidanganywa uzito wake halisi katika makasha waliyo ya bebea hilo hulioni? Zile zile akili za "ukitaka kula uliwe" Kwa vile yana hiyo multiplier effect ndio kiwe kigezo cha kufumbia macho ubadhirifu? Kweli dunia hii iko na majambo.

Mchina wa jF.
Na washawasha!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…