Mkuu nna stress hapa lkn mpaka nmecheka mwenyeweKunachovutia kwenye storyboard yako ni kwamba Mbwa kaamua kula chakula na kumla mwenye mbwa. Tafakari kisha chukua hatua.
"PAMBANA NA HALI YAKO"
Kabudi yuko serikalini si chamani!Yule Kabudi Mzee wa Kubangazana kumbe naye mweupee!
Sasa mkuu kama Kabudi pamoja na heshima yote aliyojijengea anakubali kuitwa mpumbavu ( Sizonje hakutaja mawaziri kwa majina hivyo aweza kuwa miongoni mwao) na kesho yake hajajiuzulu, basi sio tuu kuwa ni mwepesi bali atakuwa kama alivyo mwita mteuzi wake.Yule Kabudi Mzee wa Kubangazana kumbe naye mweupee!
Mkuu unalaumu wanaomlaumu mtukufu lkn kumbuka wanaomlau
Sikwamba wanapendezwa na hali hiyo ila ninamna yakumwambia Mtawala afuate taratibu zilizowekwa kama hazitaki atafute namna yakuzitengua Maana JAZBA zake ni Mauti yetu
Angalia hili la MAKINIKIA watu wameonya tangu zamani mwisho wakaishia kupachikwa majina mabaya Itakuwaje jamaa wakitushtaki kweli na tukashindwa mtakuja tena kumwaga Povu humu
kutaka muungwe MKONO?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiondoa tabia ya ulalamishi, Tundu ana uwezo wa wastani tu!Tatizo linalowasumbua mpaka kesho ni pale mnapotaka kujifananisha na Lissu wakati mnajua kabisa haiwezekani na haitotokea iwezekane.
"PAMBANA NA HALI YAKO"
Kabudi yuko serikalini si chamani!
ningekuwa na account nyingi nyingi humu ndani kama le mbululaZ zote ningetumia kulike maoni yako maana comment yako sio ya nchi hii..LISSU anasema UKWELI na anasimamia HAKI.
..mtu wa namna hiyo ni almost impossible kupambana naye kwa hoja.
Panic at your own risk. Ukipata uja uzito urudi.Usirudie kuni quote kama huna hoja
Ukawa madivision zero
Watu wapo ila utawala huu huruhusiwi kutoa tamko lolote, mwenye akili ni mmoja tuWakati fulani hapa chamani tulikuwa na watu waliojulikana kama wanasheria wa chama na ninamkumbuka mmoja akiitwa Kunambi. Lakini zama hizi sijajua kama bado tunao wanasheria wa chama, ila ningeomba tupate mtu mwenye uwezo wa kujibu na kujenga hoja zitokanazo na changamoto mbalimbali. Haiwezekani leo hii Lissu au Zitto wanaibuka na hoja nyepesi zenye majibu ya kawaida lakini sisi kama chama tunabaki kimya. Leo hii Lissu anawaaminisha watanzania kwamba serikali ikiingia mkataba ni mwiko kuhoji au kuuvunja kwa sababu nchi itashtakiwa, na sisi CCM tumebaki kimya tukumbuke kuwa Lissu ni mwanasiasa na anaongea mambo yote kupitia chama chake chadema, hivyo anapaswa kujibiwa kisiasa na chama kilichounda serikali yaani CCM. Ahsante!
Unakuta jitu lafi linakula bila kunawa na likipata kipindupindu linalaumu wahudumu kulicheleweshea matibabu?Maendeleo ya nchi kwa historian yake yanahujumiwa na watanzania wenyewe toka upate Uhuru mwaka 1961.
Tumepitia vipindi vingi sana vya kupambana wenyewe kwa wenyewe Katika kuwaletea maendeleo wanainchi kutokana na baadhi ya watanzania kutopenda kuona Serikali yetu inafanya vizuri.
Wengine mpaka walishakuwa wakimbizi wa kisiasa nchi za ulaya toka utawala wa Mwl Nyerere kwasababu ya kutofautiana kwa mitazamo ya Siasa za nchi.
Baada ya hapo tumeona viongozi wanajilimbikizia Mali na kuwaacha watz na umasikini wa kutupwa.
Misaada mingi imetafunwa na kuandika report za uwongo kwa wafadhili ili mradi tu Serikali ionekane haifai.
Kumekuwa na tabia ya kuiba nyaraka za Serikali na kuwapa watz wasiokuwa na mamlaka kisheria kuwa nyaraka hizo ili tu kuonyesha Serikali haifai kuongoza.
Haya mambo yasipodhibitiwa kama Taifa basi Kuna siku hatutaelewa nani ni mkweli ktk taarifa kwa wanainchi Kitu ambacho ni hatari sana kwa AMANI ya nchi na Taifa kwa ujumla wake.
Watanzania wanahitaji Huduma nzuri za jamii..Elimu,Afya,Maji,Barabara na Huduma nzuri na bora kutoka ofisi za umma mfano Mahakama,Halmashauri zetu,Taasisi zake na bila kusahau Huduma za Majeshi kama Polisi Uhamiaji na Jeshi la zimamoto n.k
Uharo huuMaendeleo ya nchi kwa historian yake yanahujumiwa na watanzania wenyewe toka upate Uhuru mwaka 1961.