hiko kichanga kimezaliwa muhimbili umekipa hadhi ya juu kimezaliwa nyumbani alafu baba amekikana!umenichekesha sana🙂🙂🙂🙂Akili iliotumika hapa hata kichanga kiluchozaliwa Leo Muhimbili hakiwezi kua na akili hizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Tundu Lisu akiendelea hivi ipo siku atapata madhara kisiasa tena makubwa! Ni rahisi sana wanasiasa wenzake kumchafua kisiasa kuhusu ushirikiano wake na hawa mabepari
View attachment 570244
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jamaa mmoja nilimkuta kazini wakati naanza kazi.sjaewa wanasiasa wanaingia vipi hapo alitakiwa afafanue kama ndo wao walio sababisha ndege kuzuiwa au
HautaishaHuu ujinga wa kutoa visingizio vya kijinga kwa huu utawala utaisha lini?
Tatizo la nchi hii ni washangiliaji wa...mfalmeAliyesababisha ilo deni kwa hulka ya maamuzi ya kukurupuka afikishwe mahakamani haraka sana kwa kosa la kuhujumu uchumi na kuliingizia taifa hasara.
Maamuzi bila busara na hekima ili kufurahisha raia wasiojielewa yatagharimu nchi fidia nyingi.
Itabidi mishahara isipande tumalize madeni kwanza.Hatari sana...
Watumishi endeleeni kuombea nchi .
Mpwa sio kulipa tuu bali kwa madeni ya kipuuzi kama haya yanayoletwa na mtu mmoja kwa ajili ya kujionyesha hapangiwi inabidi turudi kwenye katiba na kuiweka sawa ili anyolewe bila maji.Tulipeni madeni tuache longolongo aiseeee
Tanzania tuna Judas Iscariot!!!
Hii nchi vyama vya upinzani vimegeuka kuwa Vikaragosi vya wasioitakia mema Tanzania. Chochote kinachokuwa kibaya dhidi serikali wao ndio wa kwanza kushangilia. Hivi kweli unaweza kuita press conference na kuanza kushangilia kuwa ndege imekamatwa kwa deni. Leo serikali inapochukua hatua ya kuwabana wawekezaji kwa upinzani ni kero, serikali inapopambana na mafisadi na madawa kulevya haohao wapinzani ndio mstari wa mbele kwenda mahakamani kuwatetea. Serikali ya awamu ya tano ina mapungufu yake lakini inapokuja National Interest tunatakiwa kuiunga mkono.Ununuzi wa ndege ya 3 ya Bombadier umeingiliwa na mgogoro uliotengenezwa na wanasiasa na watu wasioitakia mema Tanzania.
"Wanasiasa waliotengeneza mgogoro huo wanahujumu maendeleo ya nchi na usalama wa raia"-Kaimu Mkurugenzi Mkuu-Idara ya Habari Zamaradi Kawawa
Ndege ya 3 ya Bombadier ipo na inakuja kwahiyo wananchi waiamini Serikali yao. Serikali imesikitishwa na ushiriki wa wanasiasa na baadhi ya watu kuhujumu maendeleo ya nchi.
Watanzania tuwe wazalendo kulinda,kutetea na kukabiliana na hujuma zozote zinazorudisha nyuma maendeleo ya Nchi.
Watanzania, Tuunge mkono jitihada za Rais Magufuli katika kuleta maendeleo bila kujali itikadi ya chama, kabila au dini. Kuhusiana na mgogoro wa ununuzi wa ndege hatua za Kidiplomasia na sheria zimeanza kuchukuliwa ili kumaliza jambo hili.
Unaweza kusoma mwenyewe tweets za kaimu msemaji wa serikali.
View attachment 570220
View attachment 570219
Kwani Tanzania Ina Mali nje?Na mkiagiza dream liner Barrick watakuwa wameshinda kesi.Tutaikamata na kuipiga mnada kupata malipo ya awali ya madai yetu.Baada ya hapo tutakamata mali zote za Tanzania zilizopo Canada Uingereza na Marekani. Hatutaki mzaha na ushenzi sisi