Acha kujidhalilisha mkuuMsemaji wa Serikali nilitarajia uwe kwenye hiyo ndege ila ulinusurika hukuipanda.
Acha kujidhalilisha mkuu
Msemaji Mkuu wa Serikali amesema hayo na kuongeza kuwa watu wanaolalamika na kuhoji juu ya kutotumika Helikopta katika uokoaji kwenye ajali ya Ndege ya Pecision Air wapuuzwe.
Amesema Serikali haiwezi kuwa na dhamira ya kuacha wananchi waangamie pale majanga yanapojitokeza na ndio mana walitumia kila njia kuhakikisha wanapunguza madhara ya ajali.
View attachment 2410311
Cha kuhoji ni jitihada zipi wao wamechukua?na ndio mana walitumia kila njia kuhakikisha wanapunguza madhara ya ajali.
View attachment 2410311
Cha kuhoji ni jitihada zipi wao wamechukua?
Kwani wale wavuvi ni waokoaji? Angetafuta namna tofauti kujibu hasira ya wananchi.Msemaji Mkuu wa Serikali amesema hayo na kuongeza kuwa watu wanaolalamika na kuhoji juu ya kutotumika Helikopta katika uokoaji kwenye ajali ya Ndege ya Pecision Air wapuuzwe.
Amesema Serikali haiwezi kuwa na dhamira ya kuacha wananchi waangamie pale majanga yanapojitokeza na ndio mana walitumia kila njia kuhakikisha wanapunguza madhara ya ajali.
View attachment 2410311
Kuna wakati unatamani umnase mtu vibao,Comment yangu haihusiani na maadaMsemaji Mkuu wa Serikali amesema hayo na kuongeza kuwa watu wanaolalamika na kuhoji juu ya kutotumika Helikopta katika uokoaji kwenye ajali ya Ndege ya Pecision Air wapuuzwe.
Amesema Serikali haiwezi kuwa na dhamira ya kuacha wananchi waangamie pale majanga yanapojitokeza na ndio mana walitumia kila njia kuhakikisha wanapunguza madhara ya ajali.
View attachment 2410311
Helicopter zetuni za kusafiria.....